Nikitaka kuacha kumsaliti mke wangu linatokea jinamizi linanirudisha kwenye uzinzi

Nikitaka kuacha kumsaliti mke wangu linatokea jinamizi linanirudisha kwenye uzinzi

Hakika, kweli nyie wafia dini mpo vizuri kiimani eh sawa
Hukumshirikisha wakati unaanza umshirikishe unapotaka kumaliza
🙂
Ndio maana tunasema kataa ndoa, mke anapima pima mbususu ona sasa hadi umbake tena, mambo ya kiwaki, si unaona michepuko inagawa tu bila hiyana na hamko kwenye ndoa.
#Kataa Ndoa
Yaani katoka kupimiwa ila bado akili haisomi.


📌📌kataa ndoa,kataa utumwa!!!
 
Kuna kipindi mke wangu alikuwa anabana Sana kunipa utamu yani hadi umbake la si hivyo utalala mzungu wa nne mwezi mzima kwa visababu visivyoeleweka

Sasa kama rijali nikaona usinitanie kwanini nisivute pisi kadhaa nikazipanga nikawa najipimia kwa zamu. Mwanzo nilikuwa natoboka pesa ila imefika kipindi najipimia kwa hisani ya mioyo yao wenyewe kama kuna kibinti cha afu 2 kimeniganda Sana kila weekend lazima kinitafute

Issue inakuja kuwa kwa sasa wife katulia kwenye mkao yani nitakachotaka anafanya mambo zinaenda kama zinavyopangwa yani home ni burudani iwe mchana iwe usiku na kuhusu kuchepuka mke wangu na Mimi pia (japo nilikuwa) ni wafia dini yani swala tano na tupo vizuri kiimani pia

Sasa kila nikitaka kuiacha hii michepuko ni kama haiwezekani maana nishawahi kuiblock Mara kadhaa lakini wananitafuta kwa namba zingine na wanajua kuwa nipo na wife lakini wanasema kwani wakati nawatongoza sikujua kuwa Nina mke so nakosa hoja

Natamani kumshirikisha mke wangu hili swala tushauriane ila nahisi atalichukulia kwa mtazamo tofauti nifanyeje
Umshirikishe mkeo tena!omba Mungu akuchomoe hapo,huyo ni shetani kakukamata kwa mikono yake miwili,kuchomoa hapo kwa kili zako mwenyewe ni ngumu sana...
 
Ni changamoto mkuu japo Mimi sitongozi wapya ila hizi pisi mbili zimeniganda kuna moja Ina tako la kwenda ingine ni kitoto cha afu2 kipotable yani najitahidi kuwa mbali nazo ila haiwezekani mbaya zaidi wanajua kazini kwangu ukiwablock wanakuja
Kwa Mzabzab iyo si changamoto, mzabzab hapo ange-organise foursome (fffm) ya mke, kitoto Cha afu 2 , na huyo pisi mwenye Tako mzabzab Kazanazo
 
Some people deserves to learn the hard way. Ur one., nenda mwambie maana amekua mtiifu🤣
Atawaza vingine tofauti na ninavyowaza mimi

Natafuta suluhu yeye ataleta mambo za wivu
 
📌📌📌kataa ndoa,kataa utumwa!!!
Mke ni package iliyokamili kamili mkuu oa uone

Unafuliwa, unapikiwa, unapelekewa maji bafuni na kuogeshwa(kwa sisi wa uswazi), ndani muda wote kunakuwa smart na kumechangamka

Kubwa ya yote mwanaume unakuwa na mji wako unaotambulika hata kama umepanga room moja yani mke anaheshimisha

Zaidi kabisa hakuna kitu kizuri zaidi ya umilikishi yani kummiliki mke na kuwa na uhakika ni wewe tu anakujua hata mood ya tendo inakuwa mubashara kuliko hizo pisi unajua kabisa kwa siku mijamaa inaingia na kutoka so poa

Hizo ni chache tu waliooa wataongezea
 
Yaani katoka kupimiwa ila bado akili haisomi.


📌📌kataa ndoa,kataa utumwa!!!
Sijarogwa mkuu nipo fit kabisa

Mke kwa sasa hanipimii ni full burdani nahofia siku akijua nachepuka hatakuwa na hamu anayokuwa nayo sasaivi nipe mbinu niiache hii michepuko itaharibu one day
 
Umshirikishe mkeo tena!omba Mungu akuchomoe hapo,huyo ni shetani kakukamata kwa mikono yake miwili,kuchomoa hapo kwa kili zako mwenyewe ni ngumu sana...
Kuna piss moja inatishia kumwambia mke wangu kila nikiiblock yani nimeingia kwenye hii michezo kirahisi kutoka ni ngumu sana
 
Kwa mke wangu kumwambia kuoa mke wa pili anaweza asilete taharuki kuliko akijua nachepuka

Kumwambia sio njia sahihi nimeiacha
Anaweza pia kukuambia oa, ila inategemea na hali ilivyo
Kama ameridhika uwe nae pekee ni kheri kubwa sana
Ila usikubali shetani akusogelee kabisa

Panga holiday mnaenda sehemu na iwe kila mwaka kama uwezo upo hata miezi 6.
Na Umra mnaweza kwenda kama Mungu akipenda
Ni hayo tu
All the best
 
Anaweza pia kukuambia oa, ila inategemea na hali ilivyo
Kama ameridhika uwe nae pekee ni kheri kubwa sana
Ila usikubali shetani akusogelee kabisa

Panga holiday mnaenda sehemu na iwe kila mwaka kama uwezo upo hata miezi 6.
Na Umra mnaweza kwenda kama Mungu akipenda
Ni hayo tu
All the best
Nahisi shetani kashanikaba kwa hii michepuko najaribu kila njia ila bado but nashukuru kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom