CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Mimi pia nina changamoto hiyo najitahidi kuacha kuchepuka nashindwa nafikiri nina pepo la ngono nimekwenda mara kadha kwenye maombi nikidhani hilo pepo litalipuka ili likemewe liondoke lakini wapi, linapiga kimya tu na linaendelea kunitesa, mtu ambaye hana hili tatizo anaweza kusema ni kujiendekeza lakini ukweli kuna nguvu isiyo ya asili katika hili kwani nikisha zini huwa najuta sana na kumuonea hurumu mke wangu, lakini baada ya muda hayo majuto yanapotea na nikiona pisi nyingine hasa ikiwa nyeusi tii nachanganyikiwa nataka niipasue.