Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaota mkuuKwanini iwe naota vipi hata wewe huwa unachepuka
Lofa flani tu wewe. Najuta kupoteza mda wangu kusoma huu upuziKuna kipindi mke wangu alikuwa anabana Sana kunipa utamu yani hadi umbake la si hivyo utalala mzungu wa nne mwezi mzima kwa visababu visivyoeleweka
Sasa kama rijali nikaona usinitanie kwanini nisivute pisi kadhaa nikazipanga nikawa najipimia kwa zamu. Mwanzo nilikuwa natoboka pesa ila imefika kipindi najipimia kwa hisani ya mioyo yao wenyewe kama kuna kibinti cha afu 2 kimeniganda Sana kila weekend lazima kinitafute
Issue inakuja kuwa kwa sasa wife katulia kwenye mkao yani nitakachotaka anafanya mambo zinaenda kama zinavyopangwa yani home ni burudani iwe mchana iwe usiku na kuhusu kuchepuka mke wangu na Mimi pia (japo nilikuwa) ni wafia dini yani swala tano na tupo vizuri kiimani pia
Sasa kila nikitaka kuiacha hii michepuko ni kama haiwezekani maana nishawahi kuiblock Mara kadhaa lakini wananitafuta kwa namba zingine na wanajua kuwa nipo na wife lakini wanasema kwani wakati nawatongoza sikujua kuwa Nina mke so nakosa hoja
Natamani kumshirikisha mke wangu hili swala tushauriane ila nahisi atalichukulia kwa mtazamo tofauti nifanyeje
Mke wako anajua kama unachepuka?kama hajui na wewe Kwa nini unasema hachepuki?unatembea na kumaaa yake muda wote?Mke wangu hachepuki mimi mwenyewe ilinichukua muda mrefu hadi kufikia uamuzi wa kuchepuka ila pia najuta kwanini niliamua kuchepuka maana dhambi inanitafuna sasa hivi japo kipindi hicho sikuwa na namna
Wife hana shida kabisaa ni mtu ambae hata nikichepuka nafsi inanisuta changamoto tu za mimba ndio zilizonifikisha hapa nilipoNaomba umshirikiane na wife jinsi ya kuwaacha hao michepuko wako,pia ulete mrejesho
Kabisa mkuu ndio maana nahisi aliona kuwa alikosea kwahiyo kama kajirekebisha asaiv habanii tena ila sasa kosa lishatendeka na jinsi ya kusahihisha ndio shidaHapa wanawake Wana kitu kikubwa Cha kujifunza.. Unapomnyima mumeo unyumba ndio unamfungulia mlango wa kuchepuka.. Mpe mumeo unyumba..
Sio mtego, jaribu uone!Huu utakuwa mtego naweza kunasa na ushahidi
Visingizio tu hivyo ili kupata justifications za madhambi yenu.Hapa wanawake Wana kitu kikubwa Cha kujifunza.. Unapomnyima mumeo unyumba ndio unamfungulia mlango wa kuchepuka.. Mpe mumeo unyumba..