Nikitaka kuacha kumsaliti mke wangu linatokea jinamizi linanirudisha kwenye uzinzi

Usiache michepuko yako endelea nayo maana hata mke wako anayo ndio maana unaona amani na furaha imerudi kwenye ndoa yenu.
Kweli michepuko inaboresha ndoa.
Mke wangu hachepuki mimi mwenyewe ilinichukua muda mrefu hadi kufikia uamuzi wa kuchepuka ila pia najuta kwanini niliamua kuchepuka maana dhambi inanitafuna sasa hivi japo kipindi hicho sikuwa na namna
 
Kwa ushauri HATA MKE WAKO ACHANA NAYE ARV zimeanza kutolewa kwa Pesa unaambiwa mgawo wa mkoa haujafika juzi kuna dada kafata kwa 50000 ameanza kukonda na vipere achana na mambo hayo
 
Yawezekana kipindi mkeo anakubania Kuna boya lilikuwa linajipimia
Zilikuwa changamoto za mimba nimekuja kujua baadae kumbe sababu ni mimba changa alikuwa our first born
 
Mkuu hata Mimi najiona sina kosa yeye ndiye msababishaji wa yote haya ilinichukua miezi kadhaa kufikia uamuzi wa kutoka nje ya ndoa ila mwisho wa siku kunasuka pia ni kasheshe
 
Mke wangu hachepuki mimi mwenyewe ilinichukua muda mrefu hadi kufikia uamuzi wa kuchepuka ila pia najuta kwanini niliamua kuchepuka maana dhambi inanitafuna sasa hivi japo kipindi hicho sikuwa na namna
Unahakika gani kuwa mkeo hachepuki wewe ndo ulimtoa bikra?
 
Unahakika gani kuwa mkeo hachepuki wewe ndo ulimtoa bikra?
Kwa mila zetu ukimkuta hana bikra kuku na mahari vinarudishwa na ukiikuta unatozwa kitu cha thamani ya lak2 hadi tatu kama shukrani kwa wazazi
 
Unataka kumshirikisha mkeo kuhusu michepuko😃Kila la kheri utupe na mrejesho hapa😃
 
Tatizo wewe una mpididy
 
Unataka kumshirikisha mkeo kuhusu michepuko😃Kila la kheri utupe na mrejesho hapa😃
Niliwaza hivyo kulingana na utiifu wake kwangu japo nimshirikishe Siri hii kubwa inayonitafuna ambayo chanzo ni yeye kunibania
 
Pole sana
 
Nakushauri umweleze mkeo, atakushauri vizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…