Nikitaka kuacha kumsaliti mke wangu linatokea jinamizi linanirudisha kwenye uzinzi

Yaani katoka kupimiwa ila bado akili haisomi.


πŸ“ŒπŸ“Œkataa ndoa,kataa utumwa!!!
 
Umshirikishe mkeo tena!omba Mungu akuchomoe hapo,huyo ni shetani kakukamata kwa mikono yake miwili,kuchomoa hapo kwa kili zako mwenyewe ni ngumu sana...
 
Ni changamoto mkuu japo Mimi sitongozi wapya ila hizi pisi mbili zimeniganda kuna moja Ina tako la kwenda ingine ni kitoto cha afu2 kipotable yani najitahidi kuwa mbali nazo ila haiwezekani mbaya zaidi wanajua kazini kwangu ukiwablock wanakuja
Kwa Mzabzab iyo si changamoto, mzabzab hapo ange-organise foursome (fffm) ya mke, kitoto Cha afu 2 , na huyo pisi mwenye Tako mzabzab Kazanazo
 
Some people deserves to learn the hard way. Ur one., nenda mwambie maana amekua mtiifu🀣
Atawaza vingine tofauti na ninavyowaza mimi

Natafuta suluhu yeye ataleta mambo za wivu
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œkataa ndoa,kataa utumwa!!!
Mke ni package iliyokamili kamili mkuu oa uone

Unafuliwa, unapikiwa, unapelekewa maji bafuni na kuogeshwa(kwa sisi wa uswazi), ndani muda wote kunakuwa smart na kumechangamka

Kubwa ya yote mwanaume unakuwa na mji wako unaotambulika hata kama umepanga room moja yani mke anaheshimisha

Zaidi kabisa hakuna kitu kizuri zaidi ya umilikishi yani kummiliki mke na kuwa na uhakika ni wewe tu anakujua hata mood ya tendo inakuwa mubashara kuliko hizo pisi unajua kabisa kwa siku mijamaa inaingia na kutoka so poa

Hizo ni chache tu waliooa wataongezea
 
Yaani katoka kupimiwa ila bado akili haisomi.


πŸ“ŒπŸ“Œkataa ndoa,kataa utumwa!!!
Sijarogwa mkuu nipo fit kabisa

Mke kwa sasa hanipimii ni full burdani nahofia siku akijua nachepuka hatakuwa na hamu anayokuwa nayo sasaivi nipe mbinu niiache hii michepuko itaharibu one day
 
Umshirikishe mkeo tena!omba Mungu akuchomoe hapo,huyo ni shetani kakukamata kwa mikono yake miwili,kuchomoa hapo kwa kili zako mwenyewe ni ngumu sana...
Kuna piss moja inatishia kumwambia mke wangu kila nikiiblock yani nimeingia kwenye hii michezo kirahisi kutoka ni ngumu sana
 
Kwa mke wangu kumwambia kuoa mke wa pili anaweza asilete taharuki kuliko akijua nachepuka

Kumwambia sio njia sahihi nimeiacha
Anaweza pia kukuambia oa, ila inategemea na hali ilivyo
Kama ameridhika uwe nae pekee ni kheri kubwa sana
Ila usikubali shetani akusogelee kabisa

Panga holiday mnaenda sehemu na iwe kila mwaka kama uwezo upo hata miezi 6.
Na Umra mnaweza kwenda kama Mungu akipenda
Ni hayo tu
All the best
 
Nahisi shetani kashanikaba kwa hii michepuko najaribu kila njia ila bado but nashukuru kwa ushauri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…