Nikitoa sh.4000 kwa wakala huwa naona aibu, wewe je?

Nikitoa sh.4000 kwa wakala huwa naona aibu, wewe je?

Mbona sisi wanawake hatuna aibu kutoa hiyo hela inakuwaje kwa mwanaume uone aibu?
 
ungejua hela ndogo ndio zinawapa kamisheni usinge sema hvyo.
 
Jaman huwa napata aibu nikitoa chini ya tsh.5,000. je wewe huwa unaona so ukitoa sh ngapi?
Mi natoa hata buku moja, inategemea km naihitaji kwa muda huo, sasa pesa yangu mwenyewe nione aibu kuitoa wakati nimeiweka mwenyewe
 
It was my favourite movie series back then, when i was in college, sijawahi ona muvi yenye waigizaji wenye uwezo kama huo..
Especialy you mother confessor, Brigedie Regan..
Oh yeah,..popote niendako nakuwa nayo nikihisi kuwa bored nairudia...haijawahi kunichosha asee
 
Kimbembe ni pale unapoenda kwa wakala unamkuta mtoto mrembooo! afu unatoa buku tatu, yani hata ukiomba namba ya simu haki ya nani hakupi!!!??
 
kwa hiyo laki nne nayo pesa mkuu?
Sasa laki nne tuite nini...mwanza wa pesa ni tsh1 na kusonga mambele mm hadi 1100 nimetoa jana tu... Nilikwama mwana akanitumia na ya kutolea ndo ikatoka hiyo.... Halafu sina habari wala nn
 
Back
Top Bottom