Humu ndani napo ni shida tupu kuna siku nliwahi kucomment kwenye uzi flani nakumbka nlitoa comment flan ivi very personal nikashangaa kuna mkali kaja PM anadai eti niko so conscious blahblahblaaaah angependa tufamiane😂 nlishangaa sana raia hanijui na me so mtu wa kucomment sana+sina thread yoyote humu ndani how come nipo conscious sana pia hakuna mwalimu,ndugu,wala rafiki alowahi kuona utashi wangu nikaconnect dots mwisho wa siku nikahisi si mtu mwema kwangu since that day onward being anonymous is my responsibility so bro pole sana pia you have to take care+ wengine wote tuwapendao na mnaojipenda you have to…..HATUKO SALAMA