Nikiwa bongo , kuna nyumbu nilimpa namba zngu humu, akanichoma.

Nikiwa bongo , kuna nyumbu nilimpa namba zngu humu, akanichoma.

Humu ndani napo ni shida tupu kuna siku nliwahi kucomment kwenye uzi flani nakumbka nlitoa comment flan ivi very personal nikashangaa kuna mkali kaja PM anadai eti niko so conscious blahblahblaaaah angependa tufamiane😂 nlishangaa sana raia hanijui na me so mtu wa kucomment sana+sina thread yoyote humu ndani how come nipo conscious sana pia hakuna mwalimu,ndugu,wala rafiki alowahi kuona utashi wangu nikaconnect dots mwisho wa siku nikahisi si mtu mwema kwangu since that day onward being anonymous is my responsibility so bro pole sana pia you have to take care+ wengine wote tuwapendao na mnaojipenda you have to…..HATUKO SALAMA
Sawa nigga Kanye West 🧐👀
 
Hizi hizi comments tunazotoa za kuisema na kuikosoa serikali, wao wanaona hatustahili kusema. Wameweka watu wao, ila kama ulivyosema, wakiweka wadada watatunasa wengi.
Mimi sinaga shobo hata kwa wadada ni principal yangu.

Kuna jamaa mmoja ni mtoto wa AFISA mkubwa mstaafu USALAMA Huwa anatupaga CODE mbali mbali nakwambia

Hilo group ni la university school mates aisee watu wame left sana 😊

Jana niliandika kwenye group nikafuta jamaa akanipa spana kua Mimi muoga nikamwambia ninawatoto wachanga sanaa na sina wa kumkabidhii
 
Back
Top Bottom