spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Ndo mana sisi tunapiga kufuli kila mahali hata pm hakuna ni kuzoza na kuacha hapa hapa
Kuna siku nilisema, kuna ndezi wako busy ku'spy on others humu!Ndio bwashee
Kama wameshamjua hayupo salama tenaHaswa
Ila anachosema kina ukweli, japo kalewa bia ya 14😅Ndio basi tena🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Hao wakuja pm mara wanaomba urafiki nawaonaga kama ******* tu! Mtu mzima unaomba urafiki uko sawa kweli huko nyuma? Usenge usenge tu!Humu ndani napo ni shida tupu kuna siku nliwahi kucomment kwenye uzi flani nakumbka nlitoa comment flan ivi very personal nikashangaa kuna mkali kaja PM anadai eti niko so conscious blahblahblaaaah angependa tufamiane😂 nlishangaa sana raia hanijui na me so mtu wa kucomment sana+sina thread yoyote humu ndani how come nipo conscious sana pia hakuna mwalimu,ndugu,wala rafiki alowahi kuona utashi wangu nikaconnect dots mwisho wa siku nikahisi si mtu mwema kwangu since that day onward being anonymous is my responsibility so bro pole sana pia you have to take care+ wengine wote tuwapendao na mnaojipenda you have to…..HATUKO SALAMA
Naomba urafiki😆Hao wakuja pm mara wanaomba urafiki nawaonaga kama ******* tu! Mtu mzima unaomba urafiki uko sawa kweli huko nyuma? Usenge usenge tu!
Kaka nini kilitokea.Asee , nipo moshi juzi kati tu akataka kunichoma kindezi , na nikafuatiliwa .
Sikujua nilifanya nini , ila huyo mpumbavu alipwe tena na agawe hizo namba nikamatwe tena kummmke.
hapo sasaMi nataka pesa mtu anakuja kuniomba usenge, huo muda wa urafiki mi natoa wapi kwanza si tumalizane majukwaani huko Kmmmk!🤦🏽♀️
Basi selfika 😁Mi nataka pesa mtu anakuja kuniomba usenge, huo muda wa urafiki mi natoa wapi kwanza si tumalizane majukwaani huko Kmmmk!🤦🏽♀️