Archnemesis 2-0
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 1,564
- 3,279
Sawa nigga Kanye West π§πHumu ndani napo ni shida tupu kuna siku nliwahi kucomment kwenye uzi flani nakumbka nlitoa comment flan ivi very personal nikashangaa kuna mkali kaja PM anadai eti niko so conscious blahblahblaaaah angependa tufamianeπ nlishangaa sana raia hanijui na me so mtu wa kucomment sana+sina thread yoyote humu ndani how come nipo conscious sana pia hakuna mwalimu,ndugu,wala rafiki alowahi kuona utashi wangu nikaconnect dots mwisho wa siku nikahisi si mtu mwema kwangu since that day onward being anonymous is my responsibility so bro pole sana pia you have to take care+ wengine wote tuwapendao na mnaojipenda you have toβ¦..HATUKO SALAMA
Naomba halufu tano (5000) sijakula Leo πIla ma wewe unapenda kujipakulia minyama sana broo. Kwa nini usiwe unakuwa low key kama mimi.
Shida hata #commentDuh ila wakitumia pisi kali wengi watanasa. Ila mnaolalamika mnafuqtiliwa mbona hamna posts zozote sensitive?
SitakiπBasi selfika π
Tombinβebhe πYa ngap sahivi bwashee? Mana una lugha ya kabla na baada ya kuanza kushusha vyombo, na dem wako mmoja nae naona yuko vyombo leo hapa
πππππππView attachment 3661243
ππππππ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπππView attachment 3661243
Min me Leo tumuache maana anafoka sanaaNategeshea mkeka utiki mkuu, mkeka wa kupata deal kwa min -me
Hizi hizi comments tunazotoa za kuisema na kuikosoa serikali, wao wanaona hatustahili kusema. Wameweka watu wao, ila kama ulivyosema, wakiweka wadada watatunasa wengi.Duh ila wakitumia pisi kali wengi watanasa. Ila mnaolalamika mnafuqtiliwa mbona hamna posts zozote sensitive?
Lili mkutaga mdude CHADEMA wali tumia mdada kipindii Fulani braids akawa ana m cash cash πDuh ila wakitumia pisi kali wengi watanasa. Ila mnaolalamika mnafuqtiliwa mbona hamna posts zozote sensitive?
Mkuu mpaka uko Germany mnafuatiliwa πSitasahau Nov-2023 cruiser yenye tinted inanifatilia nikasanuka nikaacha manyoya.
Hio nilikua tzMkuu mpaka uko Germany mnafuatiliwa π
Mimi sinaga shobo hata kwa wadada ni principal yangu.Hizi hizi comments tunazotoa za kuisema na kuikosoa serikali, wao wanaona hatustahili kusema. Wameweka watu wao, ila kama ulivyosema, wakiweka wadada watatunasa wengi.
βWe all self conscious, I'm just the first to admit itβSawa nigga Kanye West π§π