Mambo ya imani waachie waamini wenyewe.Hawa manabii waliozuka na kujaa kama nzige wanajipatia waumini wa kuwapa utajiri.
Hao wasomi, waislamu na wanasiasa wanawapinga ovyo mtandaoni lakini pembeni utakuta wananunua maji, chumvi, mchanga na mafuta ya upako.
Hapa mtandaoni jamii forums sijawahi kuona mtu akisema wazi kama ni mfuasi wa nabii Fulani.
Nikiwa natoka Dar marafiki zangu wengi hunisisitiza na kunitumia pesa ili niwabebee maji na mafuta Kwa mwamposa na hao wengi ni waislamu, wasomi na ma balo balo wa mtaani.
Watanganyika tuwe wazi
Hamnaga muislamu mpuuzi anae weza kutegemea mshirikina amtegenezea njia ya mafanikio wakati washirikina ni najisi kwa imani ya uislamu, labda waislamu wa ngara wengi ni waislamu majina.Hawa manabii waliozuka na kujaa kama nzige wanajipatia waumini wa kuwapa utajiri.
Hao wasomi, waislamu na wanasiasa wanawapinga ovyo mtandaoni lakini pembeni utakuta wananunua maji, chumvi, mchanga na mafuta ya upako.
Hapa mtandaoni jamii forums sijawahi kuona mtu akisema wazi kama ni mfuasi wa nabii Fulani.
Nikiwa natoka Dar marafiki zangu wengi hunisisitiza na kunitumia pesa ili niwabebee maji na mafuta Kwa mwamposa na hao wengi ni waislamu, wasomi na ma balo balo wa mtaani.
Watanganyika tuwe wazi
Ndio mafundisho aliyofunzwa kwenye Kitabu.Mbona una hasira kali 😅😅
Waislamu halisi wanamtambuwa Yesu na wanaamini anaponya.Hamnaga muislamu mpuuzi anae weza kutegemea mshirikina amtegenezea njia ya mafanikio wakati washirikina ni najisi kwa imani ya uislamu, labda waislamu wa ngara wengi ni waislamu majina.
Nasikia "alimuombea" jiwe na kumnywesha maji fulani huko MzenaMambo ya imani waachie waamini wenyewe.
Hujui tu hao waislamu hawafanyi promo lakini waganga wengi ni Masheikh akiwemo Mufti mkuu.
Ni kweli ila sio hao ma nabii wa kibongo.Waislamu halisi wanamtambuwa Yesu na wanaamini anaponya.
Nasikia "alimuombea" jiwe na kumnywesha maji fulani huko Mzena
Fuvu limejaa tope na kamasihakuwahi kufufuwa watu kama Yesu