ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Hawa manabii waliozuka na kujaa kama nzige wanajipatia waumini wa kuwapa utajiri.
Hao wasomi, waislamu na wanasiasa wanawapinga ovyo mtandaoni lakini pembeni utakuta wananunua maji, chumvi, mchanga na mafuta ya upako.
Hapa mtandaoni jamii forums sijawahi kuona mtu akisema wazi kama ni mfuasi wa nabii Fulani.
Nikiwa natoka Dar marafiki zangu wengi hunisisitiza na kunitumia pesa ili niwabebee maji na mafuta Kwa mwamposa na hao wengi ni waislamu, wasomi na ma balo balo wa mtaani.
Watanganyika tuwe wazi