Nikiwa Dodoma niliwahi kuchakata wanawake mtaa mzima kisa mboga za majani, waume zao wakashikwa wivu wakafyeka bustani yangu usiku

[emoji38][emoji38][emoji38], famasiala nini!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JF ukinuna basi umetaka mwenyewe by Greatest Of All Time
 
Kumamake nimecheka kinoma....mm naona hilo jambo linaenda nikuta hivi karibuni hapa dodoma.....naomba site nyingine niende hata tabora kwa watusi huko. Dodoma kuna watoto asee
 
Kumamake nimecheka kinoma....mm naona hilo jambo linaenda nikuta hivi karibuni hapa dodoma.....naomba site nyingine niende hata tabora kwa watusi huko. Dodoma kuna watoto asee
Jipange
 
Mboga za majani tu zikufanye utembeze rungu namna hivyo na je ungekuwa tajiri wa kueleweka?
Tajiri anaogopeks, na hana muda,nikwambie ukweli wake zenu hugongwa na bodaboda,wauza nyama,waosha miguu na kucha,wauza mitumba nko ni watu hatari kwa wake zenu kuliko vibosile
 
Nimekujua we jamaa ulikuwa unakaa karibu na Duka la mangi, Ile nyia kama unaenda kanisa la mashahidi wa yehova

Ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…