Wangeniweza wapi Dodoma kila mtu anahisiwa ni usalama wa Taifa
Wageni wanaogopwa sana Dodoma,hata kama ni kapuku kama mimi utaitwa usalama
Hadi madalali wa matunda dodoma hujiita usalama wa Taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangeniweza wapi Dodoma kila mtu anahisiwa ni usalama wa Taifa
Wageni wanaogopwa sana Dodoma,hata kama ni kapuku kama mimi utaitwa usalama
[emoji38][emoji38][emoji38], famasiala nini!!Wakazi wa Dodoma wana asili ya uvivu,asante JPM kuhamisha serikali Dodoma ili kuwachangamsha hawa watani zangu.
Mwaka juzi nilikuwa naishi Dodoma mitaa ya Nkuhungu,nyumba haikuwa na uzio ila kulikuwa na bomba la maji na kisima, nikajingeza kulima bustani ya mboga, chinese, spinach, mchicha, hoho biringanya.
Nilitumia mbolea ya samadi na kupiga booster na dawa za kuua wadudu,mboga zilikubali sana ,kwa vile nilikuwa bachelor sikuwa na njaa, sikuweza kuzimaliza zile mboga, zilikuwa kama maonyesho ya nanenane,
Kila jioni nikirudi kazini nakuta wamama wanasubiri kuomba mboga, na ule ukame wa Dodoma!!
Nilichakata kuanzia wake za watu, wajane, na mahouse girl mtaa mzima, kweli Dodoma wana shida.
Waume zao wakashtukia mchezo siku moja nimelala asubuhi nakuta wahuni wamefyeka bustani yangu yote,nikahama mtaa kabla hawajanifyeka na mimi
JF ukinuna basi umetaka mwenyewe by Greatest Of All TimeWakazi wa Dodoma wana asili ya uvivu,asante JPM kuhamisha serikali Dodoma ili kuwachangamsha hawa watani zangu.
Mwaka juzi nilikuwa naishi Dodoma mitaa ya Nkuhungu,nyumba haikuwa na uzio ila kulikuwa na bomba la maji na kisima, nikajingeza kulima bustani ya mboga, chinese, spinach, mchicha, hoho biringanya.
Nilitumia mbolea ya samadi na kupiga booster na dawa za kuua wadudu,mboga zilikubali sana ,kwa vile nilikuwa bachelor sikuwa na njaa, sikuweza kuzimaliza zile mboga, zilikuwa kama maonyesho ya nanenane,
Kila jioni nikirudi kazini nakuta wamama wanasubiri kuomba mboga, na ule ukame wa Dodoma!!
Nilichakata kuanzia wake za watu, wajane, na mahouse girl mtaa mzima, kweli Dodoma wana shida.
Waume zao wakashtukia mchezo siku moja nimelala asubuhi nakuta wahuni wamefyeka bustani yangu yote,nikahama mtaa kabla hawajanifyeka na mimi
kweli haupo vizuri kwenye kiswahiliI meant my home not my house ,siko vizuri kwenye giswahili mimi ni mrundi pure
Kumamake nimecheka kinoma....mm naona hilo jambo linaenda nikuta hivi karibuni hapa dodoma.....naomba site nyingine niende hata tabora kwa watusi huko. Dodoma kuna watoto aseeWakazi wa Dodoma wana asili ya uvivu,asante JPM kuhamisha serikali Dodoma ili kuwachangamsha hawa watani zangu.
Mwaka juzi nilikuwa naishi Dodoma mitaa ya Nkuhungu,nyumba haikuwa na uzio ila kulikuwa na bomba la maji na kisima, nikajingeza kulima bustani ya mboga, chinese, spinach, mchicha, hoho biringanya.
Nilitumia mbolea ya samadi na kupiga booster na dawa za kuua wadudu,mboga zilikubali sana ,kwa vile nilikuwa bachelor sikuwa na njaa, sikuweza kuzimaliza zile mboga, zilikuwa kama maonyesho ya nanenane,
Kila jioni nikirudi kazini nakuta wamama wanasubiri kuomba mboga, na ule ukame wa Dodoma!!
Nilichakata kuanzia wake za watu, wajane, na mahouse girl mtaa mzima, kweli Dodoma wana shida.
Waume zao wakashtukia mchezo siku moja nimelala asubuhi nakuta wahuni wamefyeka bustani yangu yote,nikahama mtaa kabla hawajanifyeka na mimi
Mzee muongo sana huyuWe jamaa hakuna sehemu hujakaa au kufika, ipo siku utaenda mwezini
🤣🤣🤣🤣hadi wauza mtumbaKumbe na wewe umewastukia,dodoma kila mtu usalama
Tajiri anaogopeks, na hana muda,nikwambie ukweli wake zenu hugongwa na bodaboda,wauza nyama,waosha miguu na kucha,wauza mitumba nko ni watu hatari kwa wake zenu kuliko vibosileMboga za majani tu zikufanye utembeze rungu namna hivyo na je ungekuwa tajiri wa kueleweka?
Wakazi wa Dodoma wana asili ya uvivu,asante JPM kuhamisha serikali Dodoma ili kuwachangamsha hawa watani zangu.