Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

Hii nzuri, naonaga watu wananyonga sound za magari mjengoni au kwenye frame. Kuna jamaa ameweka kwenye kiduka chake cha kubani CD. Dual Speaker kubwa za Xplod na amp ya Boschman. Pembeni katia MiD speakers za Pioneer.

Sound yake ni weka mbali na watoto arif! Ila sasa akiizibua above 80% inakuwa ina Clip!

Hio ndio kero ya sound za Kuunga unga.
 
Hii ni Project ifuatayo. Nataka System yenye floor standing Speakers inayoendeshwa na AV Reciever for rich Dynamic Sound Processing. Ntanunua kimoja kimoja with time kisha ntaunga Sound lake kibabe nipate experience zaidi.

View attachment 1396363
Hii kitu ilinifungua akili kuhusu AV Reciever na maajabu yake. Now i always think of having one katika Music System Collection yangu japo nataka iwe coupled na Tower speakers za walau 250w. Nikipata boost ya dual Subs itakuwa freshi sana.

Kuhusu yale maspika ya wima ya sikuhizi, kila kampuni wanatoa hata LG, Panasonic, Sony wanayo nafikiri watanunua vijana. Its a shame for an audiophile like me to keep up with such kind of stuff and they look ugly indeed japo wanasema ni mazuri for parties na yana functionality zote za kisasa. I'll never buy them.

 
Picha haifunguki mkuu.
 
Attachment yako sijaiona kaka.

Speaking of AV receivers...

I have some Onkyos (three to be exact) and a Denon zina mazagazaga yote kuanzia bluetooth,Wi-Fi, 4k, RJ-45, mpaka 7.2 channels za audio I bought a couple of years ago.

Kwa muziki wa ndani tu ni overkill.

Napiga kila kitu kuanzia Youtube videos, Netflix, Spotify, 4K movies to TV mpaka MP3 to speakers kutoka my DLNA servers in the house.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 

Unamaanisha kukata?? Yan ka inajizima
 

Denon na yamaha nawakubali kwenye hiyo sekta ...bei ndo kisanga kingine
 
Uko juu sana braza, huku kwetu ili kupata hio av reciver yenye vyote hivyo ni 2M+ ! Bado huja collect speakers zake.

Pair ya floorstanding za nguvu ni laki 5-6 speaking of mtumba.

Bado hujakamata center na subwoofer ili walau upate 3.1 channel system.
 
Mkuu samahani aisee lini unakuja bongo uniletee hata moja na mimi...
 
Hyo amp, nipeni maelekezo nitafute ni na nini nipate mziki wa maana waksumbua watu, nataka dundoo lakufukuza corona kabisa, imeandikwa 550a output.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii iko vizuri japo ni midrange amp, inasukuma 150watts per channel kwa speaker zenye ohms 6-16.

Cha msingi tafta floor standing speakers za watts 100+ na Pre-amped Subwoofer yako ya 100+ watts uanze kula burudani.
 
Mkuu samahani aisee lini unakuja bongo uniletee hata moja na mimi...
Utanipa sh ngapi mkuu?

Naweza kukutumia hata nikiea huku.

Nilipanga kuja this summer, lakini Corona virus Covid-19 kapangua.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…