korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
Asante sana mkuuHii iko vizuri japo ni midrange amp, inasukuma 150watts per channel kwa speaker zenye ohms 6-16.
Cha msingi tafta floor standing speakers za watts 100+ na Pre-amped Subwoofer yako ya 100+ watts uanze kula burudani.
Hahahah yes bebe, yani wamegusa nyumbani kabisa.
Hizo ni speaker kwa ajili ya Midrange mkuu ila ziko na tweeters kwa ajili ya high notes. Uzuri baadhi zina nguvu kiasi kwamba zinagusaga higher lows range. Unakuta speaker inapiga mpaka 45Hz unapata bass nzuri bila hata ya kuongeza subwoofer.
Mmh sjakusoma mkuu, "Pele" ukimaanisha nini?Ungejibu kwa kuanza na neno Pele.
Ile biti ni kwikwiHahahah hilo dude la Ndoki sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Mmh sjakusoma mkuu, "Pele" ukimaanisha nini?
Babe katika ubora wako[emoji7], pele limepata mkunaji, uko vizuri sanaa
Nimemaanisha hapo juu.
Hiyo onkyo moja wapo hadi huku usafiri itagharimu shingapi?Utanipa sh ngapi mkuu?
Naweza kukutumia hata nikiea huku.
Nilipanga kuja this summer, lakini Corona virus Covid-19 kapangua.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Achana naye huyo Babe.Mmh sjakusoma mkuu, "Pele" ukimaanisha nini?
Aya love angu 😍
We ongezea laki uchukue Sony DAV-DZ 350Huu uzi mzuri sana na sasa nimeelewa nini maana ya mziki mzuri pongezi nyingi kwenu ilaa sasa nawaza bajeti yangu laki tano 5k tu nifanyejee nipate mziki mzuri wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Weee, usimsumbue babe wangu, umemaanisha umemaanisha, kamaanishe mbele huko[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila usishangae anakalishwa na vispika vidogo vidogo vya bose ama, harman kardonKitu hiyo hapo inaitwa MUTEKI. Kama unakaa nyumba ya kupanga jiandae kuhama
View attachment 1397626View attachment 1397628View attachment 1397630
Hiyo machine ni sony mzee. Sio la kitoto.Ila usishangae anakalishwa na vispika vidogo vidogo vya bose ama, harman kardon
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekasirika sana na haya ma radio ya mchina, nataka sound ya nzuri ya kijanja yenye kutoka mziki halisi kuanzia vyombo mpaka mkitobwa haja sio wa pwaaa pwaa pwaa
Naombeni mawazo yenu tafadhali ikiwezekana na location..
Hii kitu kuna sehemu nimeiona,inapiga kiasi chake,receiver ni maratz,speaker ni harman,ya kuunga unga kimtindo,na yenyewe ipo kwenye midrange au high-end?Hizo ni speaker kwa ajili ya Midrange mkuu ila ziko na tweeters kwa ajili ya high notes. Uzuri baadhi zina nguvu kiasi kwamba zinagusaga higher lows range. Unakuta speaker inapiga mpaka 45Hz unapata bass nzuri bila hata ya kuongeza subwoofer.
Zinatumika kwenye hifi system yeyote hazina noma.