Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

Kuna hizi tracks za 8D zinatrend sana YouTube. Nimeskiliza 8D track moja ya Pentatonix, asee nyumba inaifeel kma studio huu mkito na effects si mchezo. Hizi Sony DZ950 ni very capable systems. Much respect!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watoto, ilikuwa mezani ikapigwa rimoti za kutosha sahizi ina patch moja kubwa ya wino na mstari mwembamba. Nikaona kabla haijamalizwa aheri niitundike tu.
Machungu hayo yalinikuta.Dogo alipiga mpira mzigo ukashuka chini nilihangaika kutengeneza nikaona ujinga nikaacha.Nilivyonunua ya pili nimeining'iza juu,wacha niitwe mshamba hela inauma.Madogo wakikuwa nitaishusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuuuuuuh aiseeeeeeee pesa ya Usafiri hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mziki aliokutajia extrovert sio wa mtu mkaa nyumba za kupanga tena single

wala sio wa msela mwenye kabati la vyombo la kichina anaeishi single room

Huo mziki unatetemesha ukuta bila kelele,unapigwa chumba cha 4 wewe wa

chumba cha 5 Kabatini unaskia tu vibakuli vikilia krrrrrrr,lazima waombe Poo.
 
Jamaa wana vinu vile ambavyo waswahili hatujavizoea..

Mswahili akiweka sea piano lake geto anakuambia hakuna kinu cha kutoa mziki kama hiki..
Niliingia k.koo majuzi kati hapa kwenye duka la Haya makitu akaja m.tandale

anaulizia SEA PIANO ile yenye disco light,hilo duka wakawa hawana ila wakawa

wanamshauri achukue sabufa nyingine,yeye akawambia sitaki zaidi ya sea piano

yenye disco lights,mimi nikawa najiuliza hii sea piano yenye disco light ipoje na maajabu

yake ni yapi kwann ing'ang'aniwe hivyo? basi jamaa mmoja akamwambia yule mteja asubiri

akae chini akamletee store nyingine,Jamaa akaenda kama dk 5 akarudi na sea piano lenye disco light

Jamaa (mteja) akasema YEEEEES huyo ndio mnyama sasa,naomba nitestie kbsa,chukua na hela yako

seapiano likachomekwa likaekwa flash,Mziki ukaekwa Aseee mteja mwenye bufa lake nikamuona

anatikisa kichwa kwamba mziki umemgusa hadi kunako,ila huwezi amini Nilishkwa hasira nikatamani

nimzabue yule jamaa kofi nimuulizee,huu n mziki unanunua au unanunua tambara?!

Jamaa alipewa bufa lake akaondoka anachekelea ndio nmesoma comment yako nikamkumbuka jamaa.
 
mkuu, hata mimi nina Tv size ya mkuu Extrovert nataka nitundike ukutani, its all a matter of choice wala sio ushamba, mimi naona ili flat inoge bas iwe ukutani


Sent using Jamii Forums mobile app
Extrovert TV yake itakaa eneo lile lile miaka na miaka na wewe Lucas Mobutu

unataka kuweka Tv ukutani ikae sehemu ile ile miaka na miaka,Utamu wa sebule ibadilike

mwaka huu iwe hv mwaka ujao iwe vile haya mambo ya kutundika TV ukutani mimi sioni kama ni sawa.
 
mkuu umempnania sana, kwa hiyo unamshauri ni bora akachonge sturi ntefu kuliko huo utoporo

Sent using Jamii Forums mobile app
hamna kitu sipendi sebuleni kama kuona waya wa aina yeyote ndio mana

nimefunika kila kitu na switch zote ukutani,yani nikiona waya ntafanya kila

niwezavyo niufiche hata kama itanibidi niufunike na zulia sawa tu ili mradi nisiuone.
 
hivi unajisikiaje ukiwa unayaona mawaya waya kama hivo sebleni/chumbani kwako?
 
boss umesema kweli lakini kama unaishi kwenye nyumba yako mbona unakua unahamisha tu maana ukuta ni wako,
 
Tv me kukaa ukutani mimi hapana. Napendaga iwe chini chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…