Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

Mkuu hujapata ona kitu kama Sony je unawajua Bang & Olufsen?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iwe iwavyo huu ni ushamba!! Hii style ya kutundika tv ukutani ni special kwa public places... una meza nzuri ya tv isimamishe kwa stand yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watoto, ilikuwa mezani ikapigwa rimoti za kutosha sahizi ina patch moja kubwa ya wino na mstari mwembamba. Nikaona kabla haijamalizwa aheri niitundike tu.
 
Daah sana mkuu ila vitu vyao ni balaa, nilisikiliza earphone yao flani yaani acha kabisa!! Ukija kwenye bei earphone cheaper unaeza ambiwa 400$


TV na Music systems zao hazigusiki kwa masikini. Niliona home theater yao moja ni approximately 60M TZS
Nawajua hao B & O mzeebaba sema kwa bongo ngumu kupata hizo trim za Audio na hata ukiiotea itakuwa aghali sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ushapanda panda Benz za kuanzia 2006 utakuwa umebahatika kusikia sound lake lilivyo nyokow. Huyo m Danish aachwe kama alivyo.
 
mkuu, hata mimi nina Tv size ya mkuu Extrovert nataka nitundike ukutani, its all a matter of choice wala sio ushamba, mimi naona ili flat inoge bas iwe ukutani


Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah inakaa poa sana ikilala na ukuta, hata watengenezaji waliziandaa kwa dhumuni hilo ndio maana zikanyimwa tumbo!
 
Kama huna watoto nakushauri usitundike. Kwanza haipendezi pili inawahi kufa. % kubwa ya flat tv zilizochora wino ni zile zilizotundikwa ukutani. Ukuta unapata mitikisiko kadhaa usiyoiona that's why flat nyingi zinaathirika bila watu kujua sababu.
mkuu, hata mimi nina Tv size ya mkuu Extrovert nataka nitundike ukutani, its all a matter of choice wala sio ushamba, mimi naona ili flat inoge bas iwe ukutani


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…