Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Miaka ya hivi karibuni tumeona makampuni binafsi kama starlink, na amazon wakituma satellite nyingi sana kwenye low orbit
Kabla sijaendelea kuna aina mbili za satellite kama zifuatazo
kwenye dunia ya leo telecommumication, networking inakua sana sababu watu wengi wanatumia smartphone, AI inakua kwa speed in-short kuna potentia kubwa sana ila soko la satellite limeshikiliwa kwa kiasi kikubwa sana na western countries na wamekuwa wanafaidika nalo sana
Tanznaia kama zilivyonchi nyingine za western ni wakati wa kuwa na sattellite nyingi kwenye low orbit na high orbit
kuna uzi nilisema ni wakati wa nchi kujenga sattelite launch sababu gharama yake haizidi tsh billion 100 hii ni launch pad ya kawaida sio ile sophosticated ambayo huwaga gharama yake inazidi trillion huko
Baada ya kujenga sattelite launch pad tuanze mchakato wa kuanzisha viwanda vya sattelite hapa Tanzania
Kama nchi ni lazima tutafute kila njia ya kupata fedha
NIKIWA RAIS LAZIMA KUTAKUA NA VIWANDA VYA SATELLITE NA ZITARUSHWA NYINGI KWENYE LOW ORBIT NA HIGH ORBIT

- Geostationary Earth Orbit (GEO) satellites hizi satellite ambazo hutumika kwenye telecommunication, weather forecasting na navigation augmentation na hizi hukaa kwenye high orbit
- Megaconstellation- hizi ni satellite ila zinakaa kwenye low orbit kwa ajili ya kudeliver high-speed, low-latency broadband internet access hizi hukaa kwenye low orbit