Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Mleta uzi kwa kujiotesha ndoto za kutisha tu huwa haujambo.A daydreamer with pipedreams!
Baada miakax20.....bidhaa nyingi tunazo import zitazalishwa hapa hapa....suala muda tuuuuu ....jipange wewe uzalishe unachoona kitakulipaKwanini sahivi sekta binafsi hawafanyi ulishawahi jiuliza hili swali
Kwanini bidhaa nyingi tuna-import ulishawahi jiuliza hili swali
Utofauti wako na Elon ni akili na sio mahali mlipo.Elon alitoka South Africa akahamia Marekani.Unanifananisha na elon musk
Na kumbuka hii ni Tanzania na sio marekani
Utofauti ni mkubwa sanaUtofauti wako na Elon ni akili na sio mahali mlipo.Elon alitoka South Africa akahamia Marekani.
Hakuna mkakati wowote wa serikali alafu unasema zitazalishwa hapa labda kwa miujiza sababu waafrika tunapenda miujizaBaada miakax20.....bidhaa nyingi tunazo import zitazalishwa hapa hapa....suala muda tuuuuu ....jipange wewe uzalishe unachoona kitakulipa
Satellite ni real sio ndoto za kutishaMleta uzi kwa kujiotesha ndoto za kutisha tu huwa haujambo.A daydreamer with pipedreams!
Huwa unawaza impossibilities kila wakati wewe na rafiki yako Meneja wa makampuni.Satellite ni real sio ndoto za kutisha
Sema viongozi wengi wa afrika wanaakili kama zako ndo maana tuko hivi
Na kwa akili kama zako ni ngumu sana kutoka hapa tulipo
Mkakati mkubwa sanaa upo sekta binafsiii....plus wachinaHakuna mkakati wowote wa serikali alafu unasema zitazalishwa hapa labda kwa miujiza sababu waafrika tunapenda miujiza
Watu wanamikakati na wanaweka fedha nyingi
Anaota vijindoto tu.Weka proposal ya hio project yako tuipambanie sio maneno weka kila kitu mpaka methodology tuone kama yaliyomo yapo
Sema afrika aliyetuloga ameshafarikiWeka proposal ya hio project yako tuipambanie sio maneno weka kila kitu mpaka methodology tuone kama yaliyomo yapo
Kwa bahati mbaya viongozi wengi wanaakili kama zakoAnaota vijindoto tu.
Serikali ya inatoa sana subsidy inapambana wanazalisha megawatts nyingi za umeme ili uwe chini na kupunguza gharama za uzalishajiMkakati mkubwa sanaa upo sekta binafsiii....plus wachina
Hatua ya kwanza ni kujipambania kwanza binafsi, ukishafanikiwa ukionyesha nia ya kupambania wengine hapo kila mtu atakuelewa ,tofauti na hapo ni porojo tu.Huwa unawaza impossibilities kila wakati wewe na rafiki yako Meneja wa makampuni.
Weka videoMiaka ya hivi karibuni tumeona makampuni binafsi kama starlink, na amazon wakituma satellite nyingi sana kwenye low orbit
Kabla sijaendelea kuna aina mbili za satellite kama zifuatazo
Kuna swali huwaga najiuliza kwanini makampuni binafsi waweze alafu nchi kama Tanzania hatuna hata satellite megaconstellation kadhaa
- Geostationary Earth Orbit (GEO) satellites hizi satellite ambazo hutumika kwenye telecommunication, weather forecasting na navigation augmentation na hizi hukaa kwenye high orbit
- Megaconstellation- hizi ni satellite ila zinakaa kwenye low orbit kwa ajili ya kudeliver high-speed, low-latency broadband internet access hizi hukaa kwenye low orbit
kwenye dunia ya leo telecommumication, networking inakua sana sababu watu wengi wanatumia smartphone, AI inakua kwa speed in-short kuna potentia kubwa sana ila soko la satellite limeshikiliwa kwa kiasi kikubwa sana na western countries na wamekuwa wanafaidika nalo sana
Tanznaia kama zilivyonchi nyingine za western ni wakati wa kuwa na sattellite nyingi kwenye low orbit na high orbit
kuna uzi nilisema ni wakati wa nchi kujenga sattelite launch sababu gharama yake haizidi tsh billion 100 hii ni launch pad ya kawaida sio ile sophosticated ambayo huwaga gharama yake inazidi trillion huko
Baada ya kujenga sattelite launch pad tuanze mchakato wa kuanzisha viwanda vya sattelite hapa Tanzania
Kama nchi ni lazima tutafute kila njia ya kupata fedha
NIKIWA RAIS LAZIMA KUTAKUA NA VIWANDA VYA SATELLITE NA ZITARUSHWA NYINGI KWENYE LOW ORBIT NA HIGH ORBIT
Unafurahi kuniita takataka ila ujinga ni mzigoUrusi na china wamekupita kila kitu na wanastruggle kurusha low orbit satellite, hao ni magiant urusi kaanza 2024 sjui 2022 na hana zaid ya 25 hadi sasa, china kaanza 2024 nae
Geostationary za urus ni za kizaman na zimechoka na kuharibika nyingi ww takataka kutoka mabibo ndo urushe wakat Russia pesa tu hana za kurusha na kutengeneza mpya
Ww ambae hauna hata vyoo bora mashulen, mnalimia jembe unataka satellite 30 za low orbit na geostationary?
Kwa bahati mbaya ukiwe video jamiiforum hakuna atakayeangaliaWeka video
Weka Mimi nitaangaliaKwa bahati mbaya ukiwe video jamiiforum hakuna atakayeangalia
Anyways, ungeweka na video kama kawaidaMambo yote madogo na makubwa yatafanyika
Satellite zitaiingizia nchi mapato au na hili hulijui au unadhani zinarushwa kama urembo hapana zinaingiza mabilion ya usd daily