Nikiwa Rais, kutakuwa na viwanda vya Satelaiti na tutarusha Satelaiti aina ya Mega Constellation 15,000 na Geostationary Earth Orbit(GEO) satellite 30

Nikiwa Rais, kutakuwa na viwanda vya Satelaiti na tutarusha Satelaiti aina ya Mega Constellation 15,000 na Geostationary Earth Orbit(GEO) satellite 30

Milembeeeeeeeeee Dodomaaaaaaaaa
Hawa ndo wanaolia kila siku ccm waondoke madarakani unasema turushe satellite mtu anakuita mjinga

Ndo maana afrika sio wapinzania au chama tawala wote ni walewale kuna tatizo kubwa sana
 
Hawa ndo wanaolia kila siku ccm waondoke madarakani unasema turushe satellite mtu anakuita mjinga

Ndo maana afrika sio wapinzania au chama tawala wote ni walewale kuna tatizo kubwa sana
Milembeeeeeeeeee au satellite ya maana unayoijua wewe
 
Miaka ya hivi karibuni tumeona makampuni binafsi kama starlink, na amazon wakituma satellite nyingi sana kwenye low orbit

Kabla sijaendelea kuna aina mbili za satellite kama zifuatazo
  1. Geostationary Earth Orbit (GEO) satellites hizi satellite ambazo hutumika kwenye telecommunication, weather forecasting na navigation augmentation na hizi hukaa kwenye high orbit
  2. Megaconstellation- hizi ni satellite ila zinakaa kwenye low orbit kwa ajili ya kudeliver high-speed, low-latency broadband internet access hizi hukaa kwenye low orbit
Kuna swali huwaga najiuliza kwanini makampuni binafsi waweze alafu nchi kama Tanzania hatuna hata satellite megaconstellation kadhaa

kwenye dunia ya leo telecommumication, networking inakua sana sababu watu wengi wanatumia smartphone, AI inakua kwa speed in-short kuna potentia kubwa sana ila soko la satellite limeshikiliwa kwa kiasi kikubwa sana na western countries na wamekuwa wanafaidika nalo sana

Tanznaia kama zilivyonchi nyingine za western ni wakati wa kuwa na sattellite nyingi kwenye low orbit na high orbit

kuna uzi nilisema ni wakati wa nchi kujenga sattelite launch sababu gharama yake haizidi tsh billion 100 hii ni launch pad ya kawaida sio ile sophosticated ambayo huwaga gharama yake inazidi trillion huko

Baada ya kujenga sattelite launch pad tuanze mchakato wa kuanzisha viwanda vya sattelite hapa Tanzania

Kama nchi ni lazima tutafute kila njia ya kupata fedha

NIKIWA RAIS LAZIMA KUTAKUA NA VIWANDA VYA SATELLITE NA ZITARUSHWA NYINGI KWENYE LOW ORBIT NA HIGH ORBIT
Eti satellite Anza na madawati kwanza wewe malaya wa ccm
 
Serikali ya inatoa sana subsidy inapambana wanazalisha megawatts nyingi za umeme ili uwe chini na kupunguza gharama za uzalishaji

Serikali lazima itengeneze mazingira kwa kila jambo kuthrive
Tafuta mwekezaji ujenge kiwanda fursa ziko waziii....ushauri wa bure .....serikali haiwezi kufanya kila kitu ila inawezesha sera sheria fursa kuwa wazi
 
Tafuta mwekezaji ujenge kiwanda fursa ziko waziii....ushauri wa bure .....serikali haiwezi kufanya kila kitu ila inawezesha sera sheria fursa kuwa wazi
Unauelewa wowote juu ya uwekezaji sababu ni kama umekaa nyuma ya keyboard unaandika andika tu
 
Mjinga katika ubora wake
Toroli linahusiana nini na satellite
Tuko wajinga wawili hapa tunalishana upepo.Sasa wewe hata kiwanda cha totoli,guta na mkokoteni hujafikiria kutengeneza unatulete story za ku overcome GRAVITY huoni kama kuna shida mahali?
 
Tuko wajinga wawili hapa tunalishana upepo.Sasa wewe hata kiwanda cha totoli,guta na mkokoteni hujafikiria kutengeneza unatulete story za ku overcome GRAVITY huoni kama kuna shida mahali?
Mbona samia hajawahi miliki kiwanda na ni Rais unajua wewe ni mjinga sana

Nyerere alikuwa tu mwalimu ila alikabidhiwa nchi kwani kuna kiwanda nyerere alikuwa anamiliki kabla hajawa Rais
Ebu naomba nijibu

Kuna marais wengi sana walizitoa nchi zao kwenye umaskini na walikuwa hawamiliki kiwanda chochote kile
 
kwa wanafunzi hawa hawa ambao wanaikimbia Maths
 
Wewe ndio unao kaka....mimi sina niko tu nyuma ya keyboard...
Ungekuwa unauelewa ungejua uwekezaji sio maneno ni vitendo na vita kali sana ndo maana majuzu tumeshindwa mshawishi dangote kufungua refinery Tanga na ameenda lamu

Serikali lazima itengeneze mazingira rafiki ya kuvutia waekezaji
 
Kumbe wagonjwa wa akili ni wengi. Wahi hospitali

Huku tena unawalalamikia TMA alafu kwenye huu uzi ukanituhumu nina magonjwa ya akili baada ya kusema tuwe na satellite aisee alafu mda sio mrefu unawatuhumu TMA

as long hatuna satellite TMA hawawezi kuwa accuracy
 
Back
Top Bottom