Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
ok.🐒Miaka ya hivi karibuni tumeona makampuni binafsi kama starlink, na amazon wakituma satellite nyingi sana kwenye low orbit
Kabla sijaendelea kuna aina mbili za satellite kama zifuatazo
Kuna swali huwaga najiuliza kwanini makampuni binafsi waweze alafu nchi kama Tanzania hatuna hata satellite megaconstellation kadhaa
- Geostationary Earth Orbit (GEO) satellites hizi satellite ambazo hutumika kwenye telecommunication, weather forecasting na navigation augmentation na hizi hukaa kwenye high orbit
- Megaconstellation- hizi ni satellite ila zinakaa kwenye low orbit kwa ajili ya kudeliver high-speed, low-latency broadband internet access hizi hukaa kwenye low orbit
kwenye dunia ya leo telecommumication, networking inakua sana sababu watu wengi wanatumia smartphone, AI inakua kwa speed in-short kuna potentia kubwa sana ila soko la satellite limeshikiliwa kwa kiasi kikubwa sana na western countries na wamekuwa wanafaidika nalo sana
Tanznaia kama zilivyonchi nyingine za western ni wakati wa kuwa na sattellite nyingi kwenye low orbit na high orbit
kuna uzi nilisema ni wakati wa nchi kujenga sattelite launch sababu gharama yake haizidi tsh billion 100 hii ni launch pad ya kawaida sio ile sophosticated ambayo huwaga gharama yake inazidi trillion huko
Baada ya kujenga sattelite launch pad tuanze mchakato wa kuanzisha viwanda vya sattelite hapa Tanzania
Kama nchi ni lazima tutafute kila njia ya kupata fedha
Mjinga katika ubora wakeMkeo hajabadilisha Hati ya Nyumba kuandika majina ya watoto?Tengeneza toroli kwanza za kubeba mzigo.
Kumbe wagonjwa wa akili ni wengi. Wahi hospitaliMiaka ya hivi karibuni tumeona makampuni binafsi kama starlink, na amazon wakituma satellite nyingi sana kwenye low orbit
Kabla sijaendelea kuna aina mbili za satellite kama zifuatazo
Kuna swali huwaga najiuliza kwanini makampuni binafsi waweze alafu nchi kama Tanzania hatuna hata satellite megaconstellation kadhaa
- Geostationary Earth Orbit (GEO) satellites hizi satellite ambazo hutumika kwenye telecommunication, weather forecasting na navigation augmentation na hizi hukaa kwenye high orbit
- Megaconstellation- hizi ni satellite ila zinakaa kwenye low orbit kwa ajili ya kudeliver high-speed, low-latency broadband internet access hizi hukaa kwenye low orbit
kwenye dunia ya leo telecommumication, networking inakua sana sababu watu wengi wanatumia smartphone, AI inakua kwa speed in-short kuna potentia kubwa sana ila soko la satellite limeshikiliwa kwa kiasi kikubwa sana na western countries na wamekuwa wanafaidika nalo sana
Tanznaia kama zilivyonchi nyingine za western ni wakati wa kuwa na sattellite nyingi kwenye low orbit na high orbit
kuna uzi nilisema ni wakati wa nchi kujenga sattelite launch sababu gharama yake haizidi tsh billion 100 hii ni launch pad ya kawaida sio ile sophosticated ambayo huwaga gharama yake inazidi trillion huko
Baada ya kujenga sattelite launch pad tuanze mchakato wa kuanzisha viwanda vya sattelite hapa Tanzania
Kama nchi ni lazima tutafute kila njia ya kupata fedha
NIKIWA RAIS LAZIMA KUTAKUA NA VIWANDA VYA SATELLITE NA ZITARUSHWA NYINGI KWENYE LOW ORBIT NA HIGH ORBIT
Hawa ndo wako bize kuiponda ccm alafu unawaambia ni wakati wa kurusha satellite wanakuita mjingaKumbe wagonjwa wa akili ni wengi. Wahi hospitali
Mambo yote madogo na makubwa yatafanyikaAssuming kwamba kweli unakua rais una ndoto kubwa mno za utendaji wako kiasi kwamba unashindwa kuona vitu vidogo vya msingi unataka kujihusisha na vikubwa ambavyo haviwezi kua vya msingi kabla ya certain stage.
Umerusha satellite then what follows? First step ya maendeleo ni kuhakikisha nchi inafanya exportation kubwa kuliko importation. Kama unarusha satellite ila unaimport matrekta unakua unashughulikia maswala yasiyo ya msingi
Umejaribu boda ya mkataba?Miaka ya hivi karibuni tumeona makampuni binafsi kama starlink, na amazon wakituma satellite nyingi sana kwenye low orbit
Kabla sijaendelea kuna aina mbili za satellite kama zifuatazo
Kuna swali huwaga najiuliza kwanini makampuni binafsi waweze alafu nchi kama Tanzania hatuna hata satellite megaconstellation kadhaa
- Geostationary Earth Orbit (GEO) satellites hizi satellite ambazo hutumika kwenye telecommunication, weather forecasting na navigation augmentation na hizi hukaa kwenye high orbit
- Megaconstellation- hizi ni satellite ila zinakaa kwenye low orbit kwa ajili ya kudeliver high-speed, low-latency broadband internet access hizi hukaa kwenye low orbit
kwenye dunia ya leo telecommumication, networking inakua sana sababu watu wengi wanatumia smartphone, AI inakua kwa speed in-short kuna potentia kubwa sana ila soko la satellite limeshikiliwa kwa kiasi kikubwa sana na western countries na wamekuwa wanafaidika nalo sana
Tanznaia kama zilivyonchi nyingine za western ni wakati wa kuwa na sattellite nyingi kwenye low orbit na high orbit
kuna uzi nilisema ni wakati wa nchi kujenga sattelite launch sababu gharama yake haizidi tsh billion 100 hii ni launch pad ya kawaida sio ile sophosticated ambayo huwaga gharama yake inazidi trillion huko
Baada ya kujenga sattelite launch pad tuanze mchakato wa kuanzisha viwanda vya sattelite hapa Tanzania
Kama nchi ni lazima tutafute kila njia ya kupata fedha
NIKIWA RAIS LAZIMA KUTAKUA NA VIWANDA VYA SATELLITE NA ZITARUSHWA NYINGI KWENYE LOW ORBIT NA HIGH ORBIT
Unanifananisha na elon muskLakini, ni lazima uwe Raisi ndio utimize hayo? Elon musk sio Raisi.
Yote yanafanyikaHizi ndoto zinafifisha sana juhudi zako za kupambana kufikia mafanikio yako
Ndoto za mchana kwa nchi masikini....ambapo vipaumbele 200 vyyote hakuna pesa ya push ukiwa Rais wa nchi za Africa kipaumbele sio hizo....achia sekta binafsi zitafanya wewe uta regulate.....Miaka ya hivi karibuni tumeona makampuni binafsi kama starlink, na amazon wakituma satellite nyingi sana kwenye low orbit
Kabla sijaendelea kuna aina mbili za satellite kama zifuatazo
Kuna swali huwaga najiuliza kwanini makampuni binafsi waweze alafu nchi kama Tanzania hatuna hata satellite megaconstellation kadhaa
- Geostationary Earth Orbit (GEO) satellites hizi satellite ambazo hutumika kwenye telecommunication, weather forecasting na navigation augmentation na hizi hukaa kwenye high orbit
- Megaconstellation- hizi ni satellite ila zinakaa kwenye low orbit kwa ajili ya kudeliver high-speed, low-latency broadband internet access hizi hukaa kwenye low orbit
kwenye dunia ya leo telecommumication, networking inakua sana sababu watu wengi wanatumia smartphone, AI inakua kwa speed in-short kuna potentia kubwa sana ila soko la satellite limeshikiliwa kwa kiasi kikubwa sana na western countries na wamekuwa wanafaidika nalo sana
Tanznaia kama zilivyonchi nyingine za western ni wakati wa kuwa na sattellite nyingi kwenye low orbit na high orbit
kuna uzi nilisema ni wakati wa nchi kujenga sattelite launch sababu gharama yake haizidi tsh billion 100 hii ni launch pad ya kawaida sio ile sophosticated ambayo huwaga gharama yake inazidi trillion huko
Baada ya kujenga sattelite launch pad tuanze mchakato wa kuanzisha viwanda vya sattelite hapa Tanzania
Kama nchi ni lazima tutafute kila njia ya kupata fedha
NIKIWA RAIS LAZIMA KUTAKUA NA VIWANDA VYA SATELLITE NA ZITARUSHWA NYINGI KWENYE LOW ORBIT NA HIGH ORBIT
Mjinga katika ubora wakeUmejaribu boda ya mkataba?
Kwanini sahivi sekta binafsi hawafanyi ulishawahi jiuliza hili swaliNdoto za mchana kwa nchi masikini....ambapo vipaumbele 200 vyyote hakuna pesa ya push ukiwa Rais wa nchi za Africa kipaumbele sio hizo....achia sekta binafsi zitafanya wewe uta regulate.....
Hahaha huu ugomvi wa visu na mapanga kabisaUmejaribu boda ya mkataba?
Ok. Umeanza mchakato lakini wa kuwa Raisi?Unanifananisha na elon musk
Na kumbuka hii ni Tanzania na sio marekani
Ukiona hawafanyi ujue hailipi kwa sasa.....fursa iko wazi hata leo rusha satellite yako uwe sasa uhakika nani ata subscribe kwa huduma zako....unamuuzia nani ? Una pipe line kurudisha pesa ?? ....ama la tuendelee depend kwa uwekezaji binafsiKwanini sahivi sekta binafsi hawafanyi ulishawahi jiuliza hili swali
Kwanini bidhaa nyingi tuna-import ulishawahi jiuliza hili swali