Nikiwa Rais, kutakuwa na viwanda vya Satelaiti na tutarusha Satelaiti aina ya Mega Constellation 15,000 na Geostationary Earth Orbit(GEO) satellite 30

Kwanini sahivi sekta binafsi hawafanyi ulishawahi jiuliza hili swali
Kwanini bidhaa nyingi tuna-import ulishawahi jiuliza hili swali
Baada miakax20.....bidhaa nyingi tunazo import zitazalishwa hapa hapa....suala muda tuuuuu ....jipange wewe uzalishe unachoona kitakulipa
 
Utofauti wako na Elon ni akili na sio mahali mlipo.Elon alitoka South Africa akahamia Marekani.
Utofauti ni mkubwa sana
Kuna waafrika wametoka afrika wameenda marekani na hakuna makubwa waliofanya na wanaakili sana mambo sio marahisi hivyo
 
Baada miakax20.....bidhaa nyingi tunazo import zitazalishwa hapa hapa....suala muda tuuuuu ....jipange wewe uzalishe unachoona kitakulipa
Hakuna mkakati wowote wa serikali alafu unasema zitazalishwa hapa labda kwa miujiza sababu waafrika tunapenda miujiza

Watu wanamikakati na wanaweka fedha nyingi
 
Weka proposal ya hio project yako tuipambanie sio maneno weka kila kitu mpaka methodology tuone kama yaliyomo yapo
 
Urusi na china wamekupita kila kitu na wanastruggle kurusha low orbit satellite, hao ni magiant urusi kaanza 2024 sjui 2022 na hana zaid ya 25 hadi sasa, china kaanza 2024 nae

Geostationary za urus ni za kizaman na zimechoka na kuharibika nyingi ww takataka kutoka mabibo ndo urushe wakat Russia pesa tu hana za kurusha na kutengeneza mpya

Ww ambae hauna hata vyoo bora mashulen, mnalimia jembe unataka satellite 30 za low orbit na geostationary?
 
Weka proposal ya hio project yako tuipambanie sio maneno weka kila kitu mpaka methodology tuone kama yaliyomo yapo
Sema afrika aliyetuloga ameshafariki
Tatizo sio propsal ila ni kubwa kuliko wengi wanavyodhani

Watu wameshapeleka proposal nyingi sana na zimepigwa chini
 
Mkakati mkubwa sanaa upo sekta binafsiii....plus wachina
Serikali ya inatoa sana subsidy inapambana wanazalisha megawatts nyingi za umeme ili uwe chini na kupunguza gharama za uzalishaji

Serikali lazima itengeneze mazingira kwa kila jambo kuthrive
 
Huwa unawaza impossibilities kila wakati wewe na rafiki yako Meneja wa makampuni.
Hatua ya kwanza ni kujipambania kwanza binafsi, ukishafanikiwa ukionyesha nia ya kupambania wengine hapo kila mtu atakuelewa ,tofauti na hapo ni porojo tu.
 
Weka video
 
Unafurahi kuniita takataka ila ujinga ni mzigo
Wewe ni tahira kwanini nani alikuambia satellite itazuia ujenzi wa vyoo au mambo mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…