Milembeeeeeeeeee DodomaaaaaaaaaHawa ndo wako bize kuiponda ccm alafu unawaambia ni wakati wa kurusha satellite wanakuita mjinga
Kuna mda tukubali chadema na ccm hamna tofauti
Hawa ndo wanaolia kila siku ccm waondoke madarakani unasema turushe satellite mtu anakuita mjingaMilembeeeeeeeeee Dodomaaaaaaaaa
Milembeeeeeeeeee au satellite ya maana unayoijua weweHawa ndo wanaolia kila siku ccm waondoke madarakani unasema turushe satellite mtu anakuita mjinga
Ndo maana afrika sio wapinzania au chama tawala wote ni walewale kuna tatizo kubwa sana
Hawa ndo wapinzani wanalia ccm iondoke madarakaniMilembeeeeeeeeee au satellite ya maana unayoijua wewe
Eti satellite Anza na madawati kwanza wewe malaya wa ccmMiaka ya hivi karibuni tumeona makampuni binafsi kama starlink, na amazon wakituma satellite nyingi sana kwenye low orbit
Kabla sijaendelea kuna aina mbili za satellite kama zifuatazo
Kuna swali huwaga najiuliza kwanini makampuni binafsi waweze alafu nchi kama Tanzania hatuna hata satellite megaconstellation kadhaa
- Geostationary Earth Orbit (GEO) satellites hizi satellite ambazo hutumika kwenye telecommunication, weather forecasting na navigation augmentation na hizi hukaa kwenye high orbit
- Megaconstellation- hizi ni satellite ila zinakaa kwenye low orbit kwa ajili ya kudeliver high-speed, low-latency broadband internet access hizi hukaa kwenye low orbit
kwenye dunia ya leo telecommumication, networking inakua sana sababu watu wengi wanatumia smartphone, AI inakua kwa speed in-short kuna potentia kubwa sana ila soko la satellite limeshikiliwa kwa kiasi kikubwa sana na western countries na wamekuwa wanafaidika nalo sana
Tanznaia kama zilivyonchi nyingine za western ni wakati wa kuwa na sattellite nyingi kwenye low orbit na high orbit
kuna uzi nilisema ni wakati wa nchi kujenga sattelite launch sababu gharama yake haizidi tsh billion 100 hii ni launch pad ya kawaida sio ile sophosticated ambayo huwaga gharama yake inazidi trillion huko
Baada ya kujenga sattelite launch pad tuanze mchakato wa kuanzisha viwanda vya sattelite hapa Tanzania
Kama nchi ni lazima tutafute kila njia ya kupata fedha
NIKIWA RAIS LAZIMA KUTAKUA NA VIWANDA VYA SATELLITE NA ZITARUSHWA NYINGI KWENYE LOW ORBIT NA HIGH ORBIT
Tafuta mwekezaji ujenge kiwanda fursa ziko waziii....ushauri wa bure .....serikali haiwezi kufanya kila kitu ila inawezesha sera sheria fursa kuwa waziSerikali ya inatoa sana subsidy inapambana wanazalisha megawatts nyingi za umeme ili uwe chini na kupunguza gharama za uzalishaji
Serikali lazima itengeneze mazingira kwa kila jambo kuthrive
Mambo yote yanafanyikaEti satellite Anza na madawati kwanza wewe malaya wa ccm
Unauelewa wowote juu ya uwekezaji sababu ni kama umekaa nyuma ya keyboard unaandika andika tuTafuta mwekezaji ujenge kiwanda fursa ziko waziii....ushauri wa bure .....serikali haiwezi kufanya kila kitu ila inawezesha sera sheria fursa kuwa wazi
Tuko wajinga wawili hapa tunalishana upepo.Sasa wewe hata kiwanda cha totoli,guta na mkokoteni hujafikiria kutengeneza unatulete story za ku overcome GRAVITY huoni kama kuna shida mahali?Mjinga katika ubora wake
Toroli linahusiana nini na satellite
Mbona samia hajawahi miliki kiwanda na ni Rais unajua wewe ni mjinga sanaTuko wajinga wawili hapa tunalishana upepo.Sasa wewe hata kiwanda cha totoli,guta na mkokoteni hujafikiria kutengeneza unatulete story za ku overcome GRAVITY huoni kama kuna shida mahali?
Miaka 65 madawati yamewashinda ndio satelliteMambo yote yanafanyika
Satellite zitaiongezea nchi mapato na hayo mapato yatatumika kutengeneza madawati
Alafu basi umeridhika na kujiona mjanja kuniita malaya
Nipeni nchi muone kama kuna mtoto atakua anakaa chiniMiaka 65 madawati yamewashinda ndio satellite
Wewe ndio unao kaka....mimi sina niko tu nyuma ya keyboard...Unauelewa wowote juu ya uwekezaji sababu ni kama umekaa nyuma ya keyboard unaandika andika tu
Ungekuwa unauelewa ungejua uwekezaji sio maneno ni vitendo na vita kali sana ndo maana majuzu tumeshindwa mshawishi dangote kufungua refinery Tanga na ameenda lamuWewe ndio unao kaka....mimi sina niko tu nyuma ya keyboard...
Kumbe wagonjwa wa akili ni wengi. Wahi hospitali