Mapato yanayokusanywa sasa yanafika kama shiling trillion 34 haya ni makadirio siyo actual figure
View attachment 3336147
ππππ
Mchanganuo
- Trillion 10 kuservice madeni ya nyuma
- Trillion 14 kwa ajili ya recurrent expenditures
- Trillion 10 kwa ajili ya development expenditures mchanganuo wake ni kama ufuatavyo
πππππππππππ
πTrillion 3 kwa ajili ya barabara, kupima nchi nzima na madaraja
πTrillion 1 kwa ajili ya miundombinu ya michezo
πTrillion 1 kwa ajili ya ujenzi na uboreshaji wa shule, vyuo na ofisi za serikali
πTrillion 1 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya hospitali
πTrillion 1 kwa ajili ya dawa na vifaa vya hospitali za serikali
πTrillion 1 kwa ajili ya kujenga scheme za umwagiliaji
πTrillion 2 kwa ajili kuboresha miundombinu ya kusambaza umeme
πBillion 500 kwa ajili ya kununua vifaa vya jeshi na baadae itaongezeka
πBillion 500 kwa ajili ya tafiti za dawa na baadae itaongezeka
Faida za balanced budget
- Kuongeza chanzo kipya cha mapato ya kodi na ambayo sio ya kodi tsh Trillion 3
- Ukuaji wa uchumi utakua ni asilimia 9
- Kuongeza ajira rasmi laki 5 na zaidi
Miradi ifuatayo tutaijenga kama nchi
- Kuzalisha megawatts za umeme
- Kusambaza bomba la gesi nchi nzima
Kwa ngugu zote serikali yangu itatafuta waekezaji kwenye miradi ifuatayo
- Kujenga natural gas refinery kama crude oil, natural gas refinery, na
- Mwekezaji wa petrochemical
- Mwekezaji wa kujenga smelter mfano silicon wafer, & silicon wafer