Nikiwa Rais mchanganuo wa balanced budget utakavyokua hivi na hii ni kama sample tu

Nikiwa Rais mchanganuo wa balanced budget utakavyokua hivi na hii ni kama sample tu

Mpaka leo hujui hata kiwango cha mapao TRA wanachokusanya aiseee hii kali

Kwenye uchumi recurrent expenditures ni kubwa kuliko development expenditures kama ulikua hujui ndo ujue
Makusanyo sio kazi ya TRA pekee(Ndio maana unaandika vitu vinajikanyaga)

Nimekuambia shida ya Nchi hii sio Expenditures ni what to collect and how to ensure every cent collected is well spent.

Alafu buni chanzo kipya cha mapato

Unataka kusema hizo Trilion 34 ni makusanyo ya TRA pekee?
 
Ni wapi nimesema kwamba ni TRA ndo pekee wanakusanya kodi mbona unatunga uongo au ebu nionyeshe kwenye uzi

Haya mambo ya shida ya matumizi ni non of my business waambie wahusika Mimi nimetoa mtazamo wangu
 
Wewe umeniuliza kuwa ina maana sijui TRA wanakusanya shilingi ngapi Ndio maana nikakujibu hivyo.

Weka kumbukumbu zako Sawa ndugu
 
Akil zako mi sifur , ukute na ww ni miongon mw watumish hawa wa serikali ya majuha
Ni matokeo ya watu kutokufuatilia mambo iko wazi makusanyo ya TRA ni Trillion 24 na non tax revenue ni kama Trillion 8 ndo maana jumla ya Revenue ziko source wanasema total ni Trillion 32
Ila kuna mtu anataka ligi tena
 
Mpaka leo hujui hata kiwango cha mapao TRA wanachokusanya aiseee hii kali

Kwamba Trillion 3 ya barabara ni ndogo hivi unajua budget ya barabara ya budget iliyopita au unaongea tu

Kwenye uchumi recurrent expenditures ni kubwa kuliko development expenditures kama ulikua hujui ndo ujue
Kama TRA hakusanyi kodi nani anayekusanya
The Legacy
 
Mpuuzi wewe, budgeti kwa chanzo kipi cha mapato alichoainisha?

Yaan ujinga huu Ndio unisumbue mimi

Matumizi ya maendeleo yamefika Trilioni 13 wakati anatenga Trilion 10.

Shida ya Taifa hili sio budget Kenge maji wewe ni makusanyo na usimamizi wa fedha inapotumika.

Ukishapima barabara nchi nzima alafu utajenga kwa Trilion 3?
"budgeti kwa chanzo kipi cha mapato alichoainisha?"
Inamana mpaka sahivi hujui kwamba kodi inakusanywa hata tunavyoongea
 
Kama TRA hakusanyi kodi nani anayekusanya
The Legacy
MH. Raisi mtukufu mtarajiwa,
Mimi Kuna Jambo dogo naomba kuuliza kwa unyenyekevu MKUBWA kabisa..Kwa heshima na taadhima kubwa..

MH. Raisi
Ili uwe na balance budgets napenda ututajie vyanzo vya mapato ili ku finance budget YAKO na SERIKALI YAKO??

SWALI dogo la nyongeza unadhani Nini inamwamisha SERIKALI ya Sasa ya SSH kushindwa kua na BALANCED BUDGETS??
 
Mapato yanayokusanywa sasa yanafika kama shiling trillion 32 haya ni makadirio siyo actual figure
TRA wanakusanya kama Trillion 24 na mapato mengine tofauti na kodi ni kama Trillion 8 hii ni kama sample tu ya mtizamo wangu

View attachment 3336147
👇👇👇👇
Mchanganuo
A) Trillion 10 kuservice madeni ya nyuma

B) Trillion 14 kwa ajili ya recurrent expenditures
  1. Mishahara ya wafanyakazi wa serikali
  2. Posho
  3. Manunuzi ya magari kwa ajili ya shughuli za serikali

C) Trillion 10 kwa ajili ya development expenditures na mchanganuo wake ni kama ufuatavyo
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
  1. Trillion 3 kwa ajili ya barabara, kupima nchi nzima na madaraja
  2. Trillion 1 kwa ajili ya miundombinu ya michezo
  3. Trillion 1 kwa ajili ya ujenzi na uboreshaji wa shule, vyuo na ofisi za serikali
  4. Trillion 1 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya hospitali
  5. Trillion 1 kwa ajili ya dawa na vifaa vya hospitali za serikali
  6. Trillion 1 kwa ajili ya kujenga scheme za umwagiliaji
  7. Trillion 2 kwa ajili kuboresha miundombinu ya kusambaza umeme
  8. Billion 500 kwa ajili ya kununua vifaa vya jeshi mfano drone za kisasa, ndege za kisasa, kulifanya jeshi kuwa la kisasa na baadae itaongezeka
  9. Billion 500 kwa ajili ya tafiti za kutengeneza dawa from scratch hapa Tanzania na baadae itaongezeka maradufu

Kwahiyo wewe ukiwa Rais, budget ya nchi unapanga mwenyewe??
Faida za balanced budget
  1. Kuongeza chanzo kipya cha mapato ya kodi na ambayo sio ya kodi tsh Trillion 3
  2. Ukuaji wa uchumi utakua ni asilimia 9
  3. Kuongeza ajira rasmi laki 5 na zaidi

TRA wanatafuta watu wa kupendekeza vyanzo vya mapato.

Tuma mapendekezo yako upate donge nono.

View: https://x.com/TRATanzania/status/1922535597580640477?t=Q0xh_-LcGh45I6Fcul8fUw&s=19
Miradi ifuatayo tutaijenga kama nchi
  1. Kuzalisha megawatts za umeme
  2. Kusambaza bomba la gesi nchi nzima
Kwa ngugu zote serikali yangu itatafuta waekezaji kwenye miradi ifuatayo
  1. Kujenga natural gas refinery kama crude oil, natural gas refinery, na
  2. Mwekezaji wa petrochemical
  3. Mwekezaji wa kujenga smelter mfano silicon wafer, & silicon wafer
Wawekezaji siku zote wapo.

Shida ni mikataba
 
MH. Raisi mtukufu mtarajiwa,
Mimi Kuna Jambo dogo naomba kuuliza kwa unyenyekevu MKUBWA kabisa..Kwa heshima na taadhima kubwa..

MH. Raisi
Ili uwe na balance budgets napenda ututajie vyanzo vya mapato ili ku finance budget YAKO na SERIKALI YAKO??

SWALI dogo la nyongeza unadhani Nini inamwamisha SERIKALI ya Sasa ya SSH kushindwa kua na BALANCED BUDGETS??
Sijajikita kuelezea ni kinakwamisha serikali ya sasa kwangu mimi naona haina maana mimi nimejikita kwenye kutoa solution juu ya changamoto kwa mtizamo wangu

Vyanzo vya mapato si hivi hivi kwa kuanzia ila baadae vitaongezeka maradufu kwa sababu budget yangu itajikita kwenye kuwekeza kwa watu na sio vitu
 
Back
Top Bottom