Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #21
Neno lako sio sheria na hakuna sehemu nimesema ni mwanachama wa chademaAtawafaa sana CHADEMA kwenye serikali yao ya ndotoni.

mapato ya TRA ni almost Trillion 24 hivi na ukijumlisha mapato ambayo sio ya kodi ni kama Trillion 8 hivi jumla ni kama 32Hayana Tija.
Umepata wapi hizo T34?
Au i mikopo kwenda mbele
KwambaPunguza ujuaji
Rais acha kupanik hovyo...Neno lako sio sheria na hakuna sehemu nimesema ni mwanachama wa chadema
Hongera sanaMapato yanayokusanywa sasa yanafika kama shiling trillion 34 haya ni makadirio siyo actual figure
View attachment 3336147
👇👇👇👇
Mchanganuo
A) Trillion 10 kuservice madeni ya nyuma
B) Trillion 14 kwa ajili ya recurrent expenditures
- Mishahara ya wafanyakazi wa serikali
- Posho
- Manunuzi ya magari kwa ajili ya shughuli za serikali
C) Trillion 10 kwa ajili ya development expenditures na mchanganuo wake ni kama ufuatavyo
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
- Trillion 3 kwa ajili ya barabara, kupima nchi nzima na madaraja
- Trillion 1 kwa ajili ya miundombinu ya michezo
- Trillion 1 kwa ajili ya ujenzi na uboreshaji wa shule, vyuo na ofisi za serikali
- Trillion 1 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya hospitali
- Trillion 1 kwa ajili ya dawa na vifaa vya hospitali za serikali
- Trillion 1 kwa ajili ya kujenga scheme za umwagiliaji
- Trillion 2 kwa ajili kuboresha miundombinu ya kusambaza umeme
- Billion 500 kwa ajili ya kununua vifaa vya jeshi mfano drone za kisasa, ndege za kisasa, kulifanya jeshi kuwa la kisasa na baadae itaongezeka
- Billion 500 kwa ajili ya tafiti za kutengeneza dawa from scratch hapa Tanzania na baadae itaongezeka maradufu
Faida za balanced budget
Miradi ifuatayo tutaijenga kama nchi
- Kuongeza chanzo kipya cha mapato ya kodi na ambayo sio ya kodi tsh Trillion 3
- Ukuaji wa uchumi utakua ni asilimia 9
- Kuongeza ajira rasmi laki 5 na zaidi
Kwa ngugu zote serikali yangu itatafuta waekezaji kwenye miradi ifuatayo
- Kuzalisha megawatts za umeme
- Kusambaza bomba la gesi nchi nzima
- Kujenga natural gas refinery kama crude oil, natural gas refinery, na
- Mwekezaji wa petrochemical
- Mwekezaji wa kujenga smelter mfano silicon wafer, & silicon wafer
Cc The Mongolian SavageMapato yanayokusanywa sasa yanafika kama shiling trillion 34 haya ni makadirio siyo actual figure

Hapo mbona hamna pesa ya:Mapato yanayokusanywa sasa yanafika kama shiling trillion 34 haya ni makadirio siyo actual figure

Kila mtu na vipaumbele vyakeHapo mbona hamna pesa ya:
1.Goal la mama
2. Gharama za dreamliner kuzunguka duniani
3. Posho za msafara wa mkulu na wapambe wake
4. Pesa kwa wenye makanisa na misikiti
5. Kizimkazi festival
6. ????
Unataka kuwa rais wa kikundi gani?Mapato yanayokusanywa sasa yanafika kama shiling trillion 34 haya ni makadirio siyo actual figure
View attachment 3336147
👇👇👇👇
Mchanganuo
A) Trillion 10 kuservice madeni ya nyuma
B) Trillion 14 kwa ajili ya recurrent expenditures
- Mishahara ya wafanyakazi wa serikali
- Posho
- Manunuzi ya magari kwa ajili ya shughuli za serikali
C) Trillion 10 kwa ajili ya development expenditures na mchanganuo wake ni kama ufuatavyo
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
- Trillion 3 kwa ajili ya barabara, kupima nchi nzima na madaraja
- Trillion 1 kwa ajili ya miundombinu ya michezo
- Trillion 1 kwa ajili ya ujenzi na uboreshaji wa shule, vyuo na ofisi za serikali
- Trillion 1 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya hospitali
- Trillion 1 kwa ajili ya dawa na vifaa vya hospitali za serikali
- Trillion 1 kwa ajili ya kujenga scheme za umwagiliaji
- Trillion 2 kwa ajili kuboresha miundombinu ya kusambaza umeme
- Billion 500 kwa ajili ya kununua vifaa vya jeshi mfano drone za kisasa, ndege za kisasa, kulifanya jeshi kuwa la kisasa na baadae itaongezeka
- Billion 500 kwa ajili ya tafiti za kutengeneza dawa from scratch hapa Tanzania na baadae itaongezeka maradufu
Faida za balanced budget
Miradi ifuatayo tutaijenga kama nchi
- Kuongeza chanzo kipya cha mapato ya kodi na ambayo sio ya kodi tsh Trillion 3
- Ukuaji wa uchumi utakua ni asilimia 9
- Kuongeza ajira rasmi laki 5 na zaidi
Kwa ngugu zote serikali yangu itatafuta waekezaji kwenye miradi ifuatayo
- Kuzalisha megawatts za umeme
- Kusambaza bomba la gesi nchi nzima
- Kujenga natural gas refinery kama crude oil, natural gas refinery, na
- Mwekezaji wa petrochemical
- Mwekezaji wa kujenga smelter mfano silicon wafer, & silicon wafer
Sawa kabisa.Kila mtu na vipaumbele vyake
Wa TanzaniaUnataka kuwa rais wa kikundi gani?
Kutakua na fursa kwa watu woteSawa kabisa.
Vipi sisi machawa: ukiwa Rais, utatutosa nini bro?
Oya msinisahu wadau Mimi konyagi na grand malt na show usiku.Kaka,
Mimi nataka konyagi ndogo moja tu kaka inanitosha. 😊
Umekua mtu wa kwanza harafu umeandika madudu kama vitu vimekuzidi uwezo pita tu nyuzi zipo kibao unamponda mtu anatoa ushauri wa Budget kipindi cha budget ila unafurahia nyuzi za Uwanja wa Mkapa sijui kufunguliwa..Punguza ujuaji
Mpuuzi wewe, budgeti kwa chanzo kipi cha mapato alichoainisha?Umekua mtu wa kwanza harafu umeandika madudu kama vitu vimekuzidi uwezo pita tu nyuzi zipo kibao unamponda mtu anatoa ushauri wa Budget kipindi cha budget ila unafurahia nyuzi za Uwanja wa Mkapa sijui kufunguliwa..
Faza hauwezi kuongea mpaka utukane aisee mimi siwezi kuendelea kujibizana na mtu ambae unaonekana haupo sawa matusi sio sehemu yangu ya life usiku huu upo busy kutukana watu kisa budget daah aisee watu mna stress za maisha hatari ukiguswa tu kidogo ni matusi tatizo ni nini kukosa ustaraabu au maisha magumu..Mpuuzi wewe, budgeti kwa chanzo kipi cha mapato alichoainisha?
Yaan ujinga huu Ndio unisumbue mimi
Matumizi ya maendeleo yamefika Trilioni 13 wakati anatenga Trilion 10.
Shida ya Taifa hili sio budget Kenge maji wewe ni makusanyo na usimamizi wa fedha inapotumika.
Ukishapima barabara nchi nzima alafu utajenga kwa Trilion 3?
Ndugu umeanza wewe matusi rejea post yako ya nyuma.Faza hauwezi kuongea mpaka utukane aisee mimi siwezi kuendelea kujibizana na mtu ambae unaonekana haupo sawa matusi sio sehemu yangu ya life usiku huu upo busy kutukana watu kisa budget daah aisee watu mna stress za maisha hatari ukiguswa tu kidogo ni matusi tatizo ni nini kukosa ustaraabu au maisha magumu..
Mpaka leo hujui hata kiwango cha mapao TRA wanachokusanya aiseee hii kaliMpuuzi wewe, budgeti kwa chanzo kipi cha mapato alichoainisha?