Nikiwa Rais mchanganuo wa balanced budget utakavyokua hivi na hii ni kama sample tu

Nikiwa Rais mchanganuo wa balanced budget utakavyokua hivi na hii ni kama sample tu

Mheshimiwa Rais Mtarajiwa Dennis Roberts Naomba nikiri wazi haya Mambo yapo juu ya uwezo wangu...
 
Sijajikita kuelezea ni kinakwamisha serikali ya sasa kwangu mimi naona haina maana mimi nimejikita kwenye kutoa solution juu ya changamoto kwa mtizamo wangu

Vyanzo vya mapato si hivi hivi kwa kuanzia ila baadae vitaongezeka maradufu kwa sababu budget yangu itajikita kwenye kuwekeza kwa watu na sio vitu
Pesa nyingi iko kwenye simu, pombe na machangu mheshimiwa Rais.
Wawekee tozo ndogo tu ya kama 50% tu ...na kwa miaka mitano tutakuwa sawa na korea ya kusini kwa maendeleo.
 
Back
Top Bottom