Nikiwa Rais mchanganuo wa balanced budget utakavyokua hivi na hii ni kama sample tu

Hongera sana
 
Cc The Mongolian Savage
 
Hapo mbona hamna pesa ya:
1.Goal la mama
2. Gharama za dreamliner kuzunguka duniani
3. Posho za msafara wa mkulu na wapambe wake
4. Pesa kwa wenye makanisa na misikiti
5. Kizimkazi festival
6. ????
 
Unataka kuwa rais wa kikundi gani?
 
Punguza ujuaji
Umekua mtu wa kwanza harafu umeandika madudu kama vitu vimekuzidi uwezo pita tu nyuzi zipo kibao unamponda mtu anatoa ushauri wa Budget kipindi cha budget ila unafurahia nyuzi za Uwanja wa Mkapa sijui kufunguliwa..
 
Siku hizi umejifunza kuandika na kusindikiza na kavideo.

Kila la kheri Mh. Raisi
 
Reactions: EEX
Umekua mtu wa kwanza harafu umeandika madudu kama vitu vimekuzidi uwezo pita tu nyuzi zipo kibao unamponda mtu anatoa ushauri wa Budget kipindi cha budget ila unafurahia nyuzi za Uwanja wa Mkapa sijui kufunguliwa..
Mpuuzi wewe, budgeti kwa chanzo kipi cha mapato alichoainisha?

Yaan ujinga huu Ndio unisumbue mimi

Matumizi ya maendeleo yamefika Trilioni 13 wakati anatenga Trilion 10.

Shida ya Taifa hili sio budget Kenge maji wewe ni makusanyo na usimamizi wa fedha inapotumika.

Ukishapima barabara nchi nzima alafu utajenga kwa Trilion 3?
 
Reactions: EEX
Faza hauwezi kuongea mpaka utukane aisee mimi siwezi kuendelea kujibizana na mtu ambae unaonekana haupo sawa matusi sio sehemu yangu ya life usiku huu upo busy kutukana watu kisa budget daah aisee watu mna stress za maisha hatari ukiguswa tu kidogo ni matusi tatizo ni nini kukosa ustaraabu au maisha magumu..
 
Ndugu umeanza wewe matusi rejea post yako ya nyuma.

Mimi ni kama msumeno.
Ukipeleka mbele mimi napeleka nyuma.
 
Reactions: EEX
Mpaka leo hujui hata kiwango cha mapao TRA wanachokusanya aiseee hii kali

Kwamba Trillion 3 ya barabara ni ndogo hivi unajua budget ya barabara ya budget iliyopita au unaongea tu

Kwenye uchumi recurrent expenditures ni kubwa kuliko development expenditures kama ulikua hujui ndo ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…