Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
-
- #41
Huo msumeno wako unamdhuruje mtu ambaye hata humjuiNdugu umeanza wewe matusi rejea post yako ya nyuma.
Mimi ni kama msumeno.
Ukipeleka mbele mimi napeleka nyuma.
Hii nafikiri haikuhusu, alafu jifunze kuelewa lugha ya picha Sawa mdogo wanguHuo msumeno wako unamdhuruje mtu ambaye hata humjui
Inanihusu vizuri tu hii sio sehemu ya kumalizia stress zakoHii nafikiri haikuhusu, alafu jifunze kuelewa lugha ya picha Sawa mdogo wangu
Makusanyo sio kazi ya TRA pekee(Ndio maana unaandika vitu vinajikanyaga)Mpaka leo hujui hata kiwango cha mapao TRA wanachokusanya aiseee hii kali
Kwenye uchumi recurrent expenditures ni kubwa kuliko development expenditures kama ulikua hujui ndo ujue
Ni wapi nimesema kwamba ni TRA ndo pekee wanakusanya kodi mbona unatunga uongo au ebu nionyeshe kwenye uziMakusanyo sio kazi ya TRA pekee(Ndio maana unaandika vitu vinajikanyaga)
Nimekuambia shida ya Nchi hii sio Expenditures ni what to collect and how to ensure every cent collected is well spent.
Alafu buni chanzo kipya cha mapato
Unataka kusema hizo Trilion 34 ni makusanyo ya TRA pekee?
Wewe umeniuliza kuwa ina maana sijui TRA wanakusanya shilingi ngapi Ndio maana nikakujibu hivyo.Ni wapi nimesema kwamba ni TRA ndo pekee wanakusanya kodi mbona unatunga uongo au ebu nionyeshe kwenye uzi
Haya mambo ya shida ya matumizi ni non of my business waambie wahusika Mimi nimetoa mtazamo wangu
Akil zako mi sifur , ukute na ww ni miongon mw watumish hawa wa serikali ya majuhaHayana Tija.
Umepata wapi hizo T34?
Au i mikopo kwenda mbele
Unanjibu kwa kutunga uongoWewe umeniuliza kuwa ina maana sijui TRA wanakusanya shilingi ngapi Ndio maana nikakujibu hivyo.
Weka kumbukumbu zako Sawa ndugu
Jifunze kwanza kuandika kicha uje kuandika kwa hoja vizuriiAkil zako mi sifur , ukute na ww ni miongon mw watumish hawa wa serikali ya majuha
Ni matokeo ya watu kutokufuatilia mambo iko wazi makusanyo ya TRA ni Trillion 24 na non tax revenue ni kama Trillion 8 ndo maana jumla ya Revenue ziko source wanasema total ni Trillion 32Akil zako mi sifur , ukute na ww ni miongon mw watumish hawa wa serikali ya majuha
Hebu soma post yako Namba 40.Unanjibu kwa kutunga uongo
Kama TRA hakusanyi kodi nani anayekusanyaMpaka leo hujui hata kiwango cha mapao TRA wanachokusanya aiseee hii kali
Kwamba Trillion 3 ya barabara ni ndogo hivi unajua budget ya barabara ya budget iliyopita au unaongea tu
Kwenye uchumi recurrent expenditures ni kubwa kuliko development expenditures kama ulikua hujui ndo ujue
"budgeti kwa chanzo kipi cha mapato alichoainisha?"Mpuuzi wewe, budgeti kwa chanzo kipi cha mapato alichoainisha?
Yaan ujinga huu Ndio unisumbue mimi
Matumizi ya maendeleo yamefika Trilioni 13 wakati anatenga Trilion 10.
Shida ya Taifa hili sio budget Kenge maji wewe ni makusanyo na usimamizi wa fedha inapotumika.
Ukishapima barabara nchi nzima alafu utajenga kwa Trilion 3?
Weekend π π unaendeleajee mzee karibu sanaaOya msinisahu wadau Mimi konyagi na grand malt na show usiku.
MH. Raisi mtukufu mtarajiwa,Kama TRA hakusanyi kodi nani anayekusanya
The Legacy
Mapato yanayokusanywa sasa yanafika kama shiling trillion 32 haya ni makadirio siyo actual figure
TRA wanakusanya kama Trillion 24 na mapato mengine tofauti na kodi ni kama Trillion 8 hii ni kama sample tu ya mtizamo wangu
View attachment 3336147
ππππ
Mchanganuo
A) Trillion 10 kuservice madeni ya nyuma
B) Trillion 14 kwa ajili ya recurrent expenditures
- Mishahara ya wafanyakazi wa serikali
- Posho
- Manunuzi ya magari kwa ajili ya shughuli za serikali
C) Trillion 10 kwa ajili ya development expenditures na mchanganuo wake ni kama ufuatavyo
πππππππππππ
- Trillion 3 kwa ajili ya barabara, kupima nchi nzima na madaraja
- Trillion 1 kwa ajili ya miundombinu ya michezo
- Trillion 1 kwa ajili ya ujenzi na uboreshaji wa shule, vyuo na ofisi za serikali
- Trillion 1 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya hospitali
- Trillion 1 kwa ajili ya dawa na vifaa vya hospitali za serikali
- Trillion 1 kwa ajili ya kujenga scheme za umwagiliaji
- Trillion 2 kwa ajili kuboresha miundombinu ya kusambaza umeme
- Billion 500 kwa ajili ya kununua vifaa vya jeshi mfano drone za kisasa, ndege za kisasa, kulifanya jeshi kuwa la kisasa na baadae itaongezeka
- Billion 500 kwa ajili ya tafiti za kutengeneza dawa from scratch hapa Tanzania na baadae itaongezeka maradufu
Faida za balanced budget
- Kuongeza chanzo kipya cha mapato ya kodi na ambayo sio ya kodi tsh Trillion 3
- Ukuaji wa uchumi utakua ni asilimia 9
- Kuongeza ajira rasmi laki 5 na zaidi
Wawekezaji siku zote wapo.Miradi ifuatayo tutaijenga kama nchi
Kwa ngugu zote serikali yangu itatafuta waekezaji kwenye miradi ifuatayo
- Kuzalisha megawatts za umeme
- Kusambaza bomba la gesi nchi nzima
- Kujenga natural gas refinery kama crude oil, natural gas refinery, na
- Mwekezaji wa petrochemical
- Mwekezaji wa kujenga smelter mfano silicon wafer, & silicon wafer
Hapungi pekee yako ila kama Rais lazima uwe na maonΓ² binafsiKwahiyo wewe ukiwa Rais, budget ya nchi unapanga mwenyewe??
TRA wanatafuta watu wa kupendekeza vyanzo vya mapato.
Tuma mapendekezo yako upate donge nono.
View: https://x.com/TRATanzania/status/1922535597580640477?t=Q0xh_-LcGh45I6Fcul8fUw&s=19
Wawekezaji siku zote wapo.
Shida ni mikataba
Sijajikita kuelezea ni kinakwamisha serikali ya sasa kwangu mimi naona haina maana mimi nimejikita kwenye kutoa solution juu ya changamoto kwa mtizamo wanguMH. Raisi mtukufu mtarajiwa,
Mimi Kuna Jambo dogo naomba kuuliza kwa unyenyekevu MKUBWA kabisa..Kwa heshima na taadhima kubwa..
MH. Raisi
Ili uwe na balance budgets napenda ututajie vyanzo vya mapato ili ku finance budget YAKO na SERIKALI YAKO??
SWALI dogo la nyongeza unadhani Nini inamwamisha SERIKALI ya Sasa ya SSH kushindwa kua na BALANCED BUDGETS??
Maono yapo.Hapungi pekee yako ila kama Rais lazima uwe na maonΓ² binafsi
"Fursa sawa kwa wote" : hii ilikuwa falsafa JK ya kuwaghilibu watanzania. Nafikiri utaiendeleza kwa kuiboresha.Kutakua na fursa kwa watu wote