PreGE2025 Nikiwa Rais nitashusha gharama za bando kwa sh 500 utapata GB 1

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwahili tarajia kupata upinzani mkubwa sana kutoka kwa wafanya biashara, hao watu wana nguvu sana..... labda ujitoe muhanga kwamba ama zao ama zako, ambapo pia hawachelewi kuku yengenezea zengwe kama dictator
 
Utauliwa mapema Sana endapo ukithubutu kuingilia interest za wafanyabiashara
 
Kwanini unahisi unafaa kuwa Rais je katika huo umri wako wa 33 umewahi kufanya jambo gani ili kuchochea mabadiliko katika jamii yako.

Je tukisema wewe upo katika illusion tutakuwa tunakosea na unafikiri utakuwa Rais bila kuji package .
Mwafrika anaamini kila jambo ni gumu na hawezi ilihali wengine wanafanya ndo maana nchi zipo kwenye dimbwi la umaskini

Unaweza waambiwa watu kama Western countries wamefanya hata sisi tunaweza fanya ila ukisema hivyo utaambiwa una-illusion

Sisi tumeshaaminishwa hakuna tunachoweza kwa hiyo wewe endelea kuamini hivyo hivyo hata mimi nilikuwa huko nikatoka
 
Kwahili tarajia kupata upinzani mkubwa sana kutoka kwa wafanya biashara, hao watu wana nguvu sana..... labda ujitoe muhanga kwamba ama zao ama zako, ambapo pia hawachelewi kuku yengenezea zengwe kama dictator
Ebwana ma-classmates zako hawajambo?! Huwa nawafahamu wakidanja!!!!
 
Faida za bando kuwa chini ni kubwa sana kuliko kuwa juu

Elimu kubwa sana itatolewa kwa wananchi namna ya kutumia Internet kwa mambo ya msingi na ya kuwafaidisha
View attachment 3342965
Mimi naona TUCHUKUE Silaha tuondoe uongozi uliopo maana kwa maono haya mazuri mazuri.

Tubebe bunduki tumalize kwa mtutu ili uingie ikulu ya Tanzania ufanye maono makubwa Sanaa 😊

Nawasilisha mtukufu muheshimiwa Raisi mtarajiwa..Hawa CCM hatuwaitaji Tena..kwa Sasa wewe ni mzalendo wa kweli/ dhati Sana Sanaa
 
Siamini kwenye hiyo njia
 
Siamini kwenye hiyo njia
Mkuu,
Bila ya reforms unadhani MH. Mtukufu Raisi mtarajiwa wa Tz tutaingia ikulu.?

Una maono makubwa makubwa na kwa maono yako itakua watu kutoka sehemu mbali mbali kuvutiwa kuja Tanzania

Unashaur mbinu gani itumike kuweza kupata nafasi ya kulikwamua taifa hili kutoka kwenye mkwamo huu wa kihistoria ambapo tumeshindwa kuwa maliza maadui wa TAIFA ambao ni UJINGA, UMASKINI NA MARADHI
 
Ikulu ntaingia kwa amani na sio kwa njia nyingine za kiharamia
 
Back
Top Bottom