PreGE2025 Nikiwa Rais nitashusha gharama za bando kwa sh 500 utapata GB 1

PreGE2025 Nikiwa Rais nitashusha gharama za bando kwa sh 500 utapata GB 1

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hayo mawazo sahihi Nchi bando zipo juu na pia hiyo bando yenyewe inakimbia kama umeweka upepo tu bando utafaidi ni Zambia,Botswana, Malawi na SA sio Tanzania unaweka bando asubuhi Tunduma hata haujatumia haijalishi ni kiasi gani unafika Morogoro mida ya jioni unapata meseji ya 75% daah hao jamaa wapo kazini..
 
president, watu wakispend sana mda kwenye internet kazi watafanya mda gan
Wasipofanya kazi hawatakuwa na hela na hawatakula, kwahiyo itawabidi wafanye tu kazi wapate kipato, mwanzon wataishokea ila baadae wataizoea. Maana wanajua baada ya kazi wanaweza pia kutumia internet.

Bro! . Usijal ntaongea na Raisi akuteue uwe hata mkuu wa Wilaya. Ushirikiane na Mh Rais kujenga hii TZ ya ahadi
 
president, watu wakispend sana mda kwenye internet kazi watafanya mda gan
Internet ikiwa nafuu watu watanufaika na Raisi mtukufu mtarajiwa atahakikisha program mbali mbali za kumnufaisha mtu mmoja mmoja na makundi ya watu kuweza kufanikiwa kwa kupata unafuu wa gharama za bando just imagine MH. Raisi mtukufu mtarajiwa atahakikisha upatikanaji wa GB 1@500

NAONA UCHUMI UKIPAA KAMA ROCKETS 🚀 MAANA KUPITIA UNAFUU WA HUDUMA ZA INTERNET KUVUTIA WAWEKEZAJI PIA WANAFUNZI WATAPATA UNAFUU ZAIDI WA KJISOMEA MAARIFA MBALI MBALI KWA UNAFUU MKUBWA.

MH.RAIS MTUKUFU MTARAJIWA ATAHAKIKISHA PROGRAM MBALI MBALI ZA KUELEZEA NADHARIA MBALI MBALI ZA AGRARIAN REVOLUTION kwa lugha Rahisi ya KISWAHILI na pia industrial revolution kupitia internet ikiwa nafuu watu watanufaika na utengenezaji wa viwanda rahisi vya uzarishaji mbali mbali wa kimkakati kwa program nafuu za online zitatolewa kimkakati na itapunguza kujadiliwa kwa udaku usio na tija.


#Watanzania kwa umoja wetu tumepata mkombozi / kushikamana na kiongozi wetu alie onyesha uwezo mkubwa wa kutukuka ndugu MH.mtukufu RAIS wetu ajaye.
 
Hayo mawazo sahihi Nchi bando zipo juu na pia hiyo bando yenyewe inakimbia kama umeweka upepo tu bando utafaidi ni Zambia,Botswana, Malawi na SA sio Tanzania unaweka bando asubuhi Tunduma hata haujatumia haijalishi ni kiasi gani unafika Morogoro mida ya jioni unapata meseji ya 75% daah hao jamaa wapo kazini..
Watanzania wenye exposure ndo wataelewa wengine ni ngumu sana kuelewa unajua kuna nchi kumaliza GB 1 ni mtiti sio kirahisi kama ilivyo kwa Tanzania
 
Internet ikiwa nafuu watu watanufaika na Raisi mtukufu mtarajiwa atahakikisha program mbali mbali za kumnufaisha mtu mmoja mmoja na makundi ya watu kuweza kufanikiwa kwa kupata unafuu wa gharama za bando just imagine MH. Raisi mtukufu mtarajiwa atahakikisha upatikanaji wa GB 1@500

NAONA UCHUMI UKIPAA KAMA ROCKETS 🚀 MAANA KUPITIA UNAFUU WA HUDUMA ZA INTERNET KUVUTIA WAWEKEZAJI PIA WANAFUNZI WATAPATA UNAFUU ZAIDI WA KJISOMEA MAARIFA MBALI MBALI KWA UNAFUU MKUBWA.

MH.RAIS MTUKUFU MTARAJIWA ATAHAKIKISHA PROGRAM MBALI MBALI ZA KUELEZEA NADHARIA MBALI MBALI ZA AGRARIAN REVOLUTION kwa lugha Rahisi ya KISWAHILI na pia industrial revolution kupitia internet ikiwa nafuu watu watanufaika na utengenezaji wa viwanda rahisi vya uzarishaji mbali mbali wa kimkakati.


#Watanzania kwa umoja wetu tumepata mkombozi / kishikamana na kiongozi wetu alie onyesha uwezo mkubwa wa kutukuka ndugu MH.mtukufu RAIS wetu ajaye.
raisi mtukufu uchumi hauko ivo, infact uchumi unaweza kupaa zaidi kwa watu wachache kutumia kuliko nchi nzima kutumia mtukufu president, ukishakua president upate washauri wazuri
 
raisi mtukufu uchumi hauko ivo, infact uchumi unaweza kupaa zaidi kwa watu wachache kutumia kuliko nchi nzima kutumia mtukufu president, ukishakua president upate washauri wazuri
Bro stakehigh ww si tushasema tutakupa ukuu wa Wilaya, mbona huridhiki 😂😂😂😂.
Tutakupa nafas kubwa ila tulia na ukuu wa wilaya kwanza. Aaagh

Dr am 4 real PhD ndugu yako huyu ana tamaa sana.
Yaan sisi hatumshauri vizur Rais?
Dah!
 
Inawezekana kama utakuwa na mipango mizuri na utekelezaji.

Internet ni muhimu sana kwa maendeleo, kwenye biashara na huduma.

Inabidi tuwapige chini Italy maana wao nasikia 1GB wanaipata kwa bei sawa na bure $0.09 wakati Tanzania ni almost $0.8

#DennisRobertTuvushe
 
Inawezekana kama utakuwa na mipango mizuri na utekelezaji.

Internet ni muhimu sana kwa maendeleo, kwenye biashara na huduma.

Inabidi tuwapige chini Italy maana wao nasikia 1GB wanaipata kwa bei sawa na bure $0.09

#DennisRobertTuvushe

Mh Nomadix nampigia simu raisi,l muda huu. nimshauri akuongeze kwenye baraza la mawaziri.
 
Haha 😀 umeanza uchawa saangapi mkuu !

Mm niko kwenye serikali yake , sio uchawa 😂😂😂 ila natetea serikal ninayoifanyia kazi.

Utulie tu na tuone hamasa zako, tutakuweka sehem nzuri inshallah
 
Back
Top Bottom