PreGE2025 Nikiwa Rais nitashusha gharama za bando kwa sh 500 utapata GB 1

PreGE2025 Nikiwa Rais nitashusha gharama za bando kwa sh 500 utapata GB 1

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Faida za bando kuwa chini ni kubwa sana kuliko kuwa juu

Elimu kubwa sana itatolewa kwa wananchi namna ya kutumia Internet kwa mambo ya msingi na ya kuwafaidisha
View attachment 3342965
economic output yake haina manufaa kwa taifa kwa mfano ukiweka bando 500 na usage ni insta na sio research and development basi GDP itashuka haitapanda
 
MH.raisi mtukufu mtarajiwa NAONA KAMA TUNACHELEWA ULIKUA WAP UCHUKUE NCHI UTUONDOE KWENYE HUU MKWAMO.
Mimi naona TUCHUKUE Silaha tuondoe uongozi uliopo maana kwa maono haya mazuri mazuri.

Tubebe bunduki tumalize kwa mtutu ili uingie ikulu ya Tanzania ufanye maono makubwa Sanaa 😊

Nawasilisha mtukufu muheshimiwa Raisi mtarajiwa..Hawa CCM hatuwaitaji Tena..kwa Sasa wewe ni mzalendo wa kweli/ dhati Sana Sanaa
MH. Rais muda ni Sasa ☺️ 😁 Tumechelewa Sanaa tumelaliwa Sanaa TU/ Tupe mbinu tufanyaje Tupe MUONGOZO/ tuna Imani na wewe

#ROBERTS NI MWAMBA / ROBERTS TUVUSHE / ROBERTS MBEBA MAONO TUVUSHE WATANZANIA TUPO NYUMA YAKO.
 
Kwanini unahisi unafaa kuwa Rais je katika huo umri wako wa 33 umewahi kufanya jambo gani ili kuchochea mabadiliko katika jamii yako.

Je tukisema wewe upo katika illusion tutakuwa tunakosea na unafikiri utakuwa Rais bila kuji package .
Ndugu Dr. huyu Roberts ana maono makubwa. Huyu tusimwache apotee anaitaji support ya watanzania.. watanzania tumuunge mkono atuvushe.

#Roberts TUVUSHE..ROBERTS MBEBA MAONO.. Roberts atatuleleka kwenye agrarian revolution baadae twende kwenye industrial revolution # Twendeni na Roberts anatosha.
 
MH.raisi mtukufu mtarajiwa NAONA KAMA TUNACHELEWA ULIKUA WAP UCHUKUE NCHI UTUONDOE KWENYE HUU MKWAMO.

MH. Rais muda ni Sasa ☺️ 😁 Tumechelewa Sanaa tumelaliwa Sanaa TU/ Tupe mbinu tufanyaje Tupe MUONGOZO/ tuna Imani na wewe

#ROBERTS NI MWAMBA / ROBERTS TUVUSHE / ROBERTS MBEBA MAONO TUVUSHE WATANZANIA TUPO NYUMA YAKO.
Kuwa mvumilivu mkuu mambo mazuri hayahitaji haraka 😃😃
 
Kuwa mvumilivu mkuu mambo mazuri hayahitaji haraka 😃😃
🥺 Ujue kwa hoja na ahadi za Raisi mtukufu mtarajiwa NAONA KAMA TUNACHELEWA Sana.

Kwa ahadi ZAKE uchumi wetu utapaa Sana maana anagusa kila sekta ajira, viwanda ,madawa, miundombinu,ELIMU, afya , michezo na pia budget yetu tutajitegemea.

Huyu ndie mtu wa kwenda nae wasiwasi wangu asije kua na ahadi Kama za WIMBO WA NDIO MZEE ULE WA PROFESSOR J

#ROBERTS TUVUSHE WATANZANIA TUPO NYUMA YAKO.
 
Faida za bando kuwa chini ni kubwa sana kuliko kuwa juu

Elimu kubwa sana itatolewa kwa wananchi namna ya kutumia Internet kwa mambo ya msingi na ya kuwafaidisha
View attachment 3342965
Wazo zuri sana na ni msaada kwa watu wenye maisha ya chini katika matumizi ya Internet ila utapata ukosoaji na upinzani mkali sana kwa wafanyabiashara wa mitandao ya simu
 
Wewe kama Rais utashusha vipi Bundle kwenye Biashara Huria ?, Labda ungesema utawekeza Airtel na TTCL ili Bundle liwe chini ya hapo...,

Kabla TCRA hawajaweka bei Elekezi (Jambo ambalo wewe unasema na inaonekana ungefanya kosa hilo hilo) kutokana na ushindani kuna makampuni yalikuwa yanatoa Bundle mpaka bure au kwa nyongeza hii ilikuwa sababu ya ushindani na kuvutia wateja...; TCRA / Serikali wakalikoroga kwa kuweka Bei Elekezi kilichotokea kila mtu anacheza kwenye Uelekezi ambao upo juu kuliko otherwise...

 
Faida za bando kuwa chini ni kubwa sana kuliko kuwa juu

Elimu kubwa sana itatolewa kwa wananchi namna ya kutumia Internet kwa mambo ya msingi na ya kuwafaidisha
View attachment 3342965
Wazo zuri sana na ni msaada kwa watu wenye maisha ya chini katika matumizi ya Internet ila utapata ukosoaji na upinzani mkali sana kwa wafanyabiashara wa mitandao ya sim
 
Wewe kama Rais utashusha vipi Bundle kwenye Biashara Huria ?, Labda ungesema utawekeza Airtel na TTCL ili Bundle liwe chini ya hapo...,

Kabla TCRA hawajaweka bei Elekezi (Jambo ambalo wewe unasema na inaonekana ungefanya kosa hilo hilo) kutokana na ushindani kuna makampuni yalikuwa yanatoa Bundle mpaka bure au kwa nyongeza hii ilikuwa sababu ya ushindani na kuvutia wateja...; TCRA / Serikali wakalikoroga kwa kuweka Bei Elekezi kilichotokea kila mtu anacheza kwenye Uelekezi ambao upo juu kuliko otherwise...

Bando inasushwa vizuri tu na serikali
 
Mimi naona TUCHUKUE Silaha tuondoe uongozi uliopo maana kwa maono haya mazuri mazuri.

Tubebe bunduki tumalize kwa mtutu ili uingie ikulu ya Tanzania ufanye maono makubwa Sanaa 😊

Nawasilisha mtukufu muheshimiwa Raisi mtarajiwa..Hawa CCM hatuwaitaji Tena..kwa Sasa wewe ni mzalendo wa kweli/ dhati Sana Sanaa
Nimemjibu huyu ndo uharamia niliokuwa nauongelea
Big Balls
 
Faida za bando kuwa chini ni kubwa sana kuliko kuwa juu

Elimu kubwa sana itatolewa kwa wananchi namna ya kutumia Internet kwa mambo ya msingi na ya kuwafaidisha
View attachment 3342965

Dogo nlisoma sehemu unataka gombea Urais wa Tawi la Yanga.


URAIS WA TAWI LA YANGA LA WE LOVE YOU HERSI unahusika vipi na bundle? Nyie ndo mnafanya Yanga wote tuonekane tumedata
 
Linashuswa vizuri tu na serikali
Suku Huria ndio inashusha bei kutokana na Competition; Unless UMMA unamiliki baadhi ya Kampuni ambazo zitapunguza bei na hivyo kuleta Ushindani, serikali ikilazimisha wenye Kampuni wanaweza kuacha kufanya Research and Development hivyo quality kuwa sub standard

Case in Point bundle kupanda hivi ni Serikali under TCRA ndio waliweka bei elekezi ndio maana bundle zote bei ni kama sawa na Makampuni yameamua kuwekeza kwenye Wireless na kuuza hizo (kwa makampuni) sababu huko Serikali haijawabana

Serikali haitakiwa iwe hands on... been proven kuanzia kwenye real estate, transport n.k. unachoweza kufanya ni kuachia competition na kuhakikisha hakuna cartels wekeza kwenye shamba darasa (In this case TTCL na Airtel) ambazo ni mali za UMMA
 
Back
Top Bottom