Bro niaje!
Hawamuelewi Raisi wetu. Kushusha bundle Linawezekana.
Kuna njia nying kuwezesha hilo.
Serikali ya Mh Raisi inaweza kutoa rudhuku ,kusamehe baadhi ya kodi wanazokatwa Mitandao ya simu au kuweka mazingira mazur ya uwezekaji kwa haya makampuni ili gharama za uendeshaji zipungue.
Kwahiyo Niko na Raisi.
Sisi tulioko baraza la mawaziri tuko kumshauri njia nzur ya kufanikisha nchi yetu ya Ahadi.
CC
Nakala iende kwa:-
Mh Dkt Evelyn Salt, waziri wa Fedha na Mipango.
Evelyn Salt
Na waheshima wenzangu wote,
dosho12 min -me Dr am 4 real PhD