Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Hakuna jambo rahisi nikuhakikishie inawezekanaKwahili tarajia kupata upinzani mkubwa sana kutoka kwa wafanya biashara, hao watu wana nguvu sana..... labda ujitoe muhanga kwamba ama zao ama zako, ambapo pia hawachelewi kuku yengenezea zengwe kama dictator
Kususha mpaka niwe Rais au viongozi waliopo wanaweza lifanyia kaziShusha kiongozi niwe naangalia hata na video zako maana naishiaga kusoma maelezo tu
Sio kweli inawezekana vizuri tuUtauliwa mapema Sana endapo ukithubutu kuingilia interest za wafanyabiashara
Kwanini unahisi unafaa kuwa Rais je katika huo umri wako wa 33 umewahi kufanya jambo gani ili kuchochea mabadiliko katika jamii yako.Sio kweli inawezekana vizuri tu
Mwafrika anaamini kila jambo ni gumu na hawezi ilihali wengine wanafanya ndo maana nchi zipo kwenye dimbwi la umaskiniKwanini unahisi unafaa kuwa Rais je katika huo umri wako wa 33 umewahi kufanya jambo gani ili kuchochea mabadiliko katika jamii yako.
Je tukisema wewe upo katika illusion tutakuwa tunakosea na unafikiri utakuwa Rais bila kuji package .
Ebwana ma-classmates zako hawajambo?! Huwa nawafahamu wakidanja!!!!Kwahili tarajia kupata upinzani mkubwa sana kutoka kwa wafanya biashara, hao watu wana nguvu sana..... labda ujitoe muhanga kwamba ama zao ama zako, ambapo pia hawachelewi kuku yengenezea zengwe kama dictator
Mimi naona TUCHUKUE Silaha tuondoe uongozi uliopo maana kwa maono haya mazuri mazuri.Faida za bando kuwa chini ni kubwa sana kuliko kuwa juu
Elimu kubwa sana itatolewa kwa wananchi namna ya kutumia Internet kwa mambo ya msingi na ya kuwafaidisha
View attachment 3342965
Siamini kwenye hiyo njiaMimi naona TUCHUKUE Silaha tuondoe uongozi uliopo maana kwa maono haya mazuri mazuri.
Tubebe bunduki tumalize kwa mtutu ili uingie ikulu ya Tanzania ufanye maono makubwa Sanaa 😊
Nawasilisha mtukufu muheshimiwa Raisi mtarajiwa..Hawa CCM hatuwaitaji Tena..kwa Sasa wewe ni mzalendo wa kweli/ dhati Sana Sanaa
Ahsante kwa kushiriki na karibu tenaWe nawe nenda katibiwe mirembe huko unatudistruct sana tupo busy na maswala ya kitaifa muda wa kusikiliza na kusoma post za vichaa tunatoa wapi? Hebu upumzishe bana dah 😎
Mkuu,Siamini kwenye hiyo njia
Ikulu ntaingia kwa amani na sio kwa njia nyingine za kiharamiaMkuu,
Bila ya reforms unadhani MH. Mtukufu Raisi mtarajiwa wa Tz tutaingia ikulu.?
Una maono makubwa makubwa na kwa maono yako itakua watu kutoka sehemu mbali mbali kuvutiwa kuja Tanzania
Unashaur mbinu gani itumike kuweza kupata nafasi ya kulikwamua taifa hili kutoka kwenye mkwamo huu wa kihistoria ambapo tumeshindwa kuwa maliza maadui wa TAIFA ambao ni UJINGA, UMASKINI NA MARADHI
Kuna mtu unamjua ametaka ingia ikulu kwa namna ya kiharamia ?Ikulu ntaingia kwa amani na sio kwa njia nyingine za kiharamia