economic output yake haina manufaa kwa taifa kwa mfano ukiweka bando 500 na usage ni insta na sio research and development basi GDP itashuka haitapandaFaida za bando kuwa chini ni kubwa sana kuliko kuwa juu
Elimu kubwa sana itatolewa kwa wananchi namna ya kutumia Internet kwa mambo ya msingi na ya kuwafaidisha
View attachment 3342965
Bado hujaelewa faida za Internet kuwa free ndo maana nimesema wananchi wataelimishwa faida za Internet ikiwemo wewe ambao hawazijuieconomic output yake haina manufaa kwa taifa kwa mfano ukiweka bando 500 na usage ni insta na sio research and development basi GDP itashuka haitapanda
MH. Rais muda ni Sasa ☺️ 😁 Tumechelewa Sanaa tumelaliwa Sanaa TU/ Tupe mbinu tufanyaje Tupe MUONGOZO/ tuna Imani na weweMimi naona TUCHUKUE Silaha tuondoe uongozi uliopo maana kwa maono haya mazuri mazuri.
Tubebe bunduki tumalize kwa mtutu ili uingie ikulu ya Tanzania ufanye maono makubwa Sanaa 😊
Nawasilisha mtukufu muheshimiwa Raisi mtarajiwa..Hawa CCM hatuwaitaji Tena..kwa Sasa wewe ni mzalendo wa kweli/ dhati Sana Sanaa
Ndugu Dr. huyu Roberts ana maono makubwa. Huyu tusimwache apotee anaitaji support ya watanzania.. watanzania tumuunge mkono atuvushe.Kwanini unahisi unafaa kuwa Rais je katika huo umri wako wa 33 umewahi kufanya jambo gani ili kuchochea mabadiliko katika jamii yako.
Je tukisema wewe upo katika illusion tutakuwa tunakosea na unafikiri utakuwa Rais bila kuji package .
Kuwa mvumilivu mkuu mambo mazuri hayahitaji haraka 😃😃MH.raisi mtukufu mtarajiwa NAONA KAMA TUNACHELEWA ULIKUA WAP UCHUKUE NCHI UTUONDOE KWENYE HUU MKWAMO.
MH. Rais muda ni Sasa ☺️ 😁 Tumechelewa Sanaa tumelaliwa Sanaa TU/ Tupe mbinu tufanyaje Tupe MUONGOZO/ tuna Imani na wewe
#ROBERTS NI MWAMBA / ROBERTS TUVUSHE / ROBERTS MBEBA MAONO TUVUSHE WATANZANIA TUPO NYUMA YAKO.
Need comes first, huezi weka surplus ya kitu ambacho hakina return!Bado hujaelewa faida za Internet kuwa free ndo maana nimesema wananchi wataelimishwa faida za Internet ikiwemo wewe ambao hawazijui
🥺 Ujue kwa hoja na ahadi za Raisi mtukufu mtarajiwa NAONA KAMA TUNACHELEWA Sana.Kuwa mvumilivu mkuu mambo mazuri hayahitaji haraka 😃😃
Wazo zuri sana na ni msaada kwa watu wenye maisha ya chini katika matumizi ya Internet ila utapata ukosoaji na upinzani mkali sana kwa wafanyabiashara wa mitandao ya simuFaida za bando kuwa chini ni kubwa sana kuliko kuwa juu
Elimu kubwa sana itatolewa kwa wananchi namna ya kutumia Internet kwa mambo ya msingi na ya kuwafaidisha
View attachment 3342965
Wazo zuri sana na ni msaada kwa watu wenye maisha ya chini katika matumizi ya Internet ila utapata ukosoaji na upinzani mkali sana kwa wafanyabiashara wa mitandao ya simFaida za bando kuwa chini ni kubwa sana kuliko kuwa juu
Elimu kubwa sana itatolewa kwa wananchi namna ya kutumia Internet kwa mambo ya msingi na ya kuwafaidisha
View attachment 3342965
Mimi nimemjibu huyo muuliza swali,Kuna mtu unamjua ametaka ingia ikulu kwa namna ya kiharamia ?
Bando inasushwa vizuri tu na serikaliWewe kama Rais utashusha vipi Bundle kwenye Biashara Huria ?, Labda ungesema utawekeza Airtel na TTCL ili Bundle liwe chini ya hapo...,
Kabla TCRA hawajaweka bei Elekezi (Jambo ambalo wewe unasema na inaonekana ungefanya kosa hilo hilo) kutokana na ushindani kuna makampuni yalikuwa yanatoa Bundle mpaka bure au kwa nyongeza hii ilikuwa sababu ya ushindani na kuvutia wateja...; TCRA / Serikali wakalikoroga kwa kuweka Bei Elekezi kilichotokea kila mtu anacheza kwenye Uelekezi ambao upo juu kuliko otherwise...
Sakata la Bundles - Suluhisho
Kutokana na Mvutano uliopo kati ya Serikali, Watoa Huduma na Wananchi kuhusu Bundles na Shutuma za Wizi inabidi sisi wananchi tuelewe tunataka nini na Wizi ni nini? Issue za Wizi: Kama kuna issue za Wizi na mtu kaibiwa kuna vyombo vya kisheria na TCRA inabidi mwananchi aweze kupeleka issue zake...www.jamiiforums.com
Nimemjibu huyu ndo uharamia niliokuwa nauongeleaMimi naona TUCHUKUE Silaha tuondoe uongozi uliopo maana kwa maono haya mazuri mazuri.
Tubebe bunduki tumalize kwa mtutu ili uingie ikulu ya Tanzania ufanye maono makubwa Sanaa 😊
Nawasilisha mtukufu muheshimiwa Raisi mtarajiwa..Hawa CCM hatuwaitaji Tena..kwa Sasa wewe ni mzalendo wa kweli/ dhati Sana Sanaa
Faida za bando kuwa chini ni kubwa sana kuliko kuwa juu
Elimu kubwa sana itatolewa kwa wananchi namna ya kutumia Internet kwa mambo ya msingi na ya kuwafaidisha
View attachment 3342965
UhakikaMimi nimemjibu huyo muuliza swali,
jaribu kufuatilia conversation nzima ndo utaelewa utaelewa
Ahsante kwa kushiriki na karibu tenaDogo nlisoma sehemu unataka gombea Urais wa Tawi la Yanga.
URAIS WA TAWI LA YANGA LA WE LOVE YOU HERSI unahusika vipi na bundle? Nyie ndo mnafanya Yanga wote tuonekane tumedata
Tatizo liko kwenye fikra zako ila Internet inamatumizi mengi sana ya maana ni kwamba huyajuiNeed comes first, huezi weka surplus ya kitu ambacho hakina return!
Subiria NASA au wazungu wakuambie ni nyota ndo uaminiToka uliposema Saturn sio sayari ni nyota, siamini tena chochote unachozungumza
Suku Huria ndio inashusha bei kutokana na Competition; Unless UMMA unamiliki baadhi ya Kampuni ambazo zitapunguza bei na hivyo kuleta Ushindani, serikali ikilazimisha wenye Kampuni wanaweza kuacha kufanya Research and Development hivyo quality kuwa sub standardLinashuswa vizuri tu na serikali