kwa nchi zetu za afrika matumizi si yanaonekana, mpaka sometimes serikali znazima internet nzima ama mtandao mmojaTatizo liko kwenye fikra zako ila Internet inamatumizi mengi sana ya maana ni kwamba huyajui
Kuna mambo mengi huyaelewi na bado unashupaza shingoSuku Huria ndio inashusha bei kutokana na Competition; Unless UMMA unamiliki baadhi ya Kampuni ambazo zitapunguza bei na hivyo kuleta Ushindani, serikali ikilazimisha wenye Kampuni wanaweza kuacha kufanya Research and Development hivyo quality kuwa sub standard
Case in Point bundle kupanda hivi ni Serikali under TCRA ndio waliweka bei elekezi ndio maana bundle zote bei ni kama sawa na Makampuni yameamua kuwekeza kwenye Wireless na kuuza hizo (kwa makampuni) sababu huko Serikali haijawabana
Serikali haitakiwa iwe hands on... been proven kuanzia kwenye real estate, transport n.k. unachoweza kufanya ni kuachia competition na kuhakikisha hakuna cartels wekeza kwenye shamba darasa (In this case TTCL na Airtel) ambazo ni mali za UMMA
Ndo maana nikasema mpewe elimu ya internet sababu wengi hawajuikwa nchi zetu za afrika matumizi si yanaonekana, mpaka sometimes serikali znazima internet nzima ama mtandao mmoja
point yako haswa ni nnKuna mambo mengi huyaelewi na bado unashupaza shingo
Leo hii trump kila anaweka matarifu japokua marekani ni pure capitalist country inayooamini kwenye free trade ulishawahi jiuliza hili swali
huezi mpangio mtu matumizi yake, ndo views nyingi ni za umbea na nyimboNdo maana nikasema mpewe elimu ya internet sababu wengi hawajui
TAwi lipo wap?Ahsante kwa kushiriki na karibu tena
Unasafari ndefu sana kifikrahuezi mpangio mtu matumizi yake, ndo views nyingi ni za umbea na nyimbo
Aisee wewe ndio huelewi chochote kile ila hilo sio tatizo kutokuelewa unajifunza..., ila wewe sasa hujui kwamba hujui hence huwezi kujifunza / kuelimika...Kuna mambo mengi huyaelewi na bado unashupaza shingo
Leo hii trump kila anaweka matarifu japokua marekani ni pure capitalist country inayooamini kwenye free trade ulishawahi jiuliza hili swali
nchi haiendeshwi ivo, yaani useme leo mtu asipofanya kazi sawa! amna kitu kama icho na pia mwananchi unatakiwa umuwekee sheria ngumu ili afanye kazi nchi ipate mapato ukiweka kila mwananchi anataka uchumi unakufaUnasafari ndefu sana kifikra
Mtu akichagua ujinga unamuacha
Yani wewe hata ukiniambia baharini maji ni ya chumvi sikuamini.Subiria NASA au wazungu wakuambie ni nyota ndo uamini
Watu hawafananiTatizo mkiingia mnang"ang"ania wajumbe na hizo hoja hotofikilia tena tunarudi humu tena kujadili jinsi ya kukutoa
Hayo ni matatizo yako binafsiYani wewe hata ukiniambia baharini maji ni ya chumvi sikuamini.
Bei inakuwa influence na serikali labda waamue wasiingile mfano serikali ikiongeza kodi automatic bei itaongeza akipunguza kodi bei inapungua sasa unasemaje serikali haiwezi ku-influence beiAisee wewe ndio huelewi chochote kile ila hilo sio tatizo kutokuelewa unajifunza..., ila wewe sasa hujui kwamba hujui hence huwezi kujifunza / kuelimika...
Tariffs ni detrimental kwa USA Trump anajua hilo lakini anachofanya ni kuwalisha upepo wapiga kura wake kwamba ataleta ajira au viwanda kurudi USA (jambo ambalo sio kweli kwenye hii Global Village na Cheap Production Costs za sehemu kama China) na wala hili sio geni USA ilishajaribu kufanya kitu kama hicho na detriment yake ndio ikawa the death of Manufacturing especially Cars na Kampuni kama Toyota kuwa overtake kina Ford katika global production / market
Pili hakuna pure capitalist country wala socialists all economies are mixed na unaweza kujikuta USA kuna welfare kushinda hata nyie mnaojiita wajamaa on paper...
Tatu hapa sijaongelea Capitalism nimeongelea kitu ambacho kimetokea na wala sijasema Serikali isjihusisishe wenye mawasiliano nimekwambia badala ya kupangia watu bei (jambo ambalo wamefanya sasa hivi na lina backfrire) wangewekeza kwenye Kampuni zao mbili ili kuleta ushindani (After all kama nyie mnaona you can do better kwanini muwapangia wengine) ? Do it yourself...
Ushauri wa bure watu wana masikio mawili for a reason, jifunze kusikiliza kuliko kuongea...
Castle_Lite upo wapi njoo na cabinet yako ππ
# We stand with president Roberts π πͺBro niaje!
Hawamuelewi Raisi wetu. Kushusha bundle Linawezekana.
Kuna njia nying kuwezesha hilo.
Serikali ya Mh Raisi inaweza kutoa rudhuku ,kusamehe baadhi ya kodi wanazokatwa Mitandao ya simu au kuweka mazingira mazur ya uwezekaji kwa haya makampuni ili gharama za uendeshaji zipungue.
Kwahiyo Niko na Raisi.
Sisi tulioko baraza la mawaziri tuko kumshauri njia nzur ya kufanikisha nchi yetu ya Ahadi.
CC
Nakala iende kwa:-
Mh Dkt Evelyn Salt, waziri wa Fedha na Mipango. Evelyn Salt
Na waheshima wenzangu wote, dosho12 min -me Dr am 4 real PhD
Bro. Tuamini. Tutashusha bei za bundle. Na tutatoa elimu njia ya matumizi sahihi.huezi mpangio mtu matumizi yake, ndo views nyingi ni za umbea na nyimbo
president, watu wakispend sana mda kwenye internet kazi watafanya mda ganBro. Tuamini. Tutashusha bei za bundle. Na tutatoa elimu njia ya matumizi sahihi.
Ila Ww tumia unavyotaka . ila kuna Raia watanufaika.
Sisi kama Serikali inayoongozwa na Mh raisi Dennis Roberts tuko kufanikisha haya.