PreGE2025 Nikiwa Rais nitashusha gharama za bando kwa sh 500 utapata GB 1

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Bei inakuwa influence na serikali labda waamue wasiingile mfano serikali ikiongeza kodi automatic bei itaongeza akipunguza kodi bei inapungua
Inaweza ikapunguza Kodi na kufuta kabisa na bei isishuke na tofautisha kuweka Kodi na kutoa bei elekezi hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa.., na kwanini iweke kodi / kuongeza kwenye hii huduma kwa faida ya nani au nini ?

Mfano tuliona detrimental ya kuweka matozo kilichofanyika ni kuhamisha mzigo kwa wateja ila sio guarantee kwamba Tozo ingefutwa kabisa na wao wangehamisha ile difference yote kwa mteja bali ni ushindani na uhitaji ndio determinant. Kuhusu suala la Kodi nilishaongea hapa

sasa unasemaje serikali haiwezi ku-influence bei
Hapa umeonyesha lack of attention to details..., ni wapi nimesema Serikali haiwezi ku influence bei ? Unaweza kuni qoute ad verbatim ? On the contrary nimekwambia Serikali kwa kuweka bei elekezi kwenye bundle ililikoroga sababu sasa hivi mitandao yote inacheza kwenye huo uelekezi na hakuna ushindani wala utofauti tena hence bei ya bundle zimepanda
 
Huyu jamaa bado hajafika mirembe tu?
 
Kaka min -me Raisi mtukufu mtarajiwa Jambo moja tu hajalizungumzia.

Watu wapatiwe walau bia TATU bureee kwa siku.

Aunde station kubwa kubwa za kimkakati walau kila tarafa hapa tanzania kufanikisha walau bia TATU bureee kwa wenye uhitaji.

#TUNASIMAMA NA ROBERT...ALIPO ROBERTS SISI TUPOO
 
Kaka min -me Raisi mtukufu mtarajiwa Jambo moja tu hajalizungumzia.

Watu wapatiwe walau bia TATU bureee kwa siku.

Aunde station kila tarafa kufanikisha walau bia TATU bureee kwa wenye uhitaji.

#TUNASIMAMA NA ROBERT...ALIPO ROBERTS SISI TUPOO
Kabisa ,huyu kiazi angesapoti unywaji wa bia angepata kura yangu mchana kweupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…