Nikiwa Rais ntahakikisha uchumi unakua kwa asilimia 12 kwa mda wa miaka 10 mpaka 20

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Nikiwa Rais ntahakikisha uchumi unakua kwa asilimia 12 na ntatumia njia zifuatazo kuweza kulitimiza hili jambo
  • Kuwekeza kwenye michezo ambayo itakuza utalii
  • Kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji cha large scale
  • Kuwekeza kwenye viwanda vya awali ambavyo ni smelter na refining
KKupitia hayo mambo matatu naamini uchumi utakua zaidi ya asilimia 12
 
Ukuaji wetu wa uchumi bado ni dhaifu sana nikimimaanisha ukuaji wa asilimia 5,
View attachment 3324501
6,7 au 8 bado ni mdogo na hauna nguvu ya kuleta mabadiliko ya kweli
Wewe ni Mwafrika unajiita Dennis Roberts. Umeondoa jina la ukoo. Uko proud na majina ya kizungu. You are under mental slavery already. Sana sana utawafanya Watanzania wengi wawe watumwa wa kifikra kama wewe.

Sera zako ni za ovyo sana. Ku-expand tax base ni kuhakikisha matajiri wanalipa kodi stahiki. Ndio wanashikiria uchumi. Wakilipa hata 10% badala ya kukwepa kulipa kodi nchi itapata kipato. Bajeti ya Tanzania inaweza kutekelezwa na mapato ya ndani.

Nchi za ulaya maskini hawalipi kodi kama kipato chao ni kidogo.Wewe unataka kuwakamua.
 
Sera zako ni za ovyo sana. Ku-expand tax base ni kuhakikisha matajiri wanalipa kodi stahiki.. Ndio wanashikiria uchumi. Wakilipa hata 10% badala ya kukwepa kulipa kodi nchi itapata kipato. Bajeti ya Tanzania inaweza kutekelezwa na mapato ya ndani.

Nchi za ulaya maskini hawalipi kodi kama kipato chao ni kidogo.Wewe unataka kuwakamua.
Ukimaliza kutema nyongo endelea na shughuli zako ila kamwe huwezi nizuia
 
Wewe ni Mwafrika unajiita Dennis Roberts. Umeondoa jina la ukoo. Uko proud na majina ya kizungu. You are under mental slavery already. Sana sana utawafanya Watanzania wengi wawe watumwa wa kifikra kama wewe.

Sera zako ni za ovyo sana. Ku-expand tax base ni kuhakikisha matajiri wanalipa kodi stahiki. Ndio wanashikiria uchumi. Wakilipa hata 10% badala ya kukwepa kulipa kodi nchi itapata kipato. Bajeti ya Tanzania inaweza kutekelezwa na mapato ya ndani.

Nchi za ulaya maskini hawalipi kodi kama kipato chao ni kidogo.Wewe unataka kuwakamua.
Nchi itaendeleaje bila ya watu kulipa kodi
 
Ukimaliza kutema nyongo endelea na shughuli zako ila kamwe huwezi nizuia
Ni hivi nakufundisha uchumi, siasa, kuwa na akili timamu.

Maskini hata ukichukua pesa zao zote hazitoshi kuendesha serikali. Sana sana utaua familia zao. Ila matajiri 10, 20% ukichukua 10,20% inaweza kusaidia bajeti ya nchi. Matajiri wachache less than 10% Tanzania wanamiliki 80% ya uchumi. Maskini 70% wanapambana na 20% ya uchumi. Ukikapa wapi utapata kodi ya maana?

Hujui chochote kuhusu income inequalities na madhara yake. Hujui maskini wanatumiaje kipato chao, uki-compare ma matajiri. Wewe ni mweupe sana kwa kila kitu.
 
Nchi itaendeleaje bila ya watu kulipa kodi
Funga miaya ya kutolipa kodi kwa Matajiri kama alivyofanya Magufuli. Hao ndio wanaagiza bidhaa zote unazotumia, hawalipi kodi yoyote, wanatoa rushwa.

Ndio wanauza mazao, madini, hawalipi kodi, dhibiti hivi vitu kwanza.
 
Unajua uchumi wowote unabebwa na middle class na sio matajiri lazima uwe na base imara ya middle class na sio vinginevyo
 
Ni hivi nakufundisha uchumi, siasa, kuwa na akili timamu.

Maskini hata ukichukua pesa zao zote hazitoshi kuendesha serikali. Sana sana utaua familia zao. Ila matajiri 10, 20% ukichukua 10,20% inaweza kusaidia bajeti ya nchi. Matajiri wachache less than 10% Tanzania wanamiliki 80% ya uchumi. Maskini 70% wanapambana na 20% ya uchumi. Ukikapa wapi utapata kodi ya maana?

Hujui chochote kuhusu income inequalities na madhara yake. Hujui maskini wanatumiaje kipato chao, uki-compare ma matajiri. Wewe ni mweupe sana kwa kila kitu.
Wewe hujui hata hujui hata uchumi duniani kote lazima uwe na strong middle class kama ishara ya kuwa na uchumi imara
 
Unajua uchumi wowote unabebwa na middle class na sio matajiri lazima uwe na base imara ya middle class na sio vinginevyo
Unapataje strong middle class? Nakusaidia sababu hujui hata unachokiongea.

Ni hivi kupata middle class serikali inatakiwa iwekeze kwenye elimu, afya, miundombinu kama barabara, umeme, maji, mikopo ya elimu, ya kibiashara kwa maskini.

Hiyo ndio ina raise standards. China, Japan, South Korea, Serikali ya Magufuli ilifanya hivyo.
 
Wewe hujui hata hujui hata uchumi duniani kote lazima uwe na strong middle class kama ishara ya kuwa na uchumi imara
Niambie wewe unaipate strong middle class? Mikakati gani utaifanya? Hata jina lako la ukoo familia umelifuta. Umezaliwa Gorton, Manchester, UK au kijijini hutaki hata kusema umetokea wapi?

Unajivunia sana jina la wazungu, la kwako hulitaki, wewe ndio uwe rais wa Tanzania?
 
Wewe mbona unatumia jina la kingereza tena feki unajiona uko sawa kweli
 
Back
Top Bottom