Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,498
- 3,881
😂😂 Kila la Kheri mkuu, katika kuutafuta huo uraisi.Hata wewe unaweza fanya hivyo una-uhuru huo
😂😂 Kila la Kheri mkuu, katika kuutafuta huo uraisi.Hata wewe unaweza fanya hivyo una-uhuru huo
Hili ni jina la kimasai. Kuna eneo linaitwa Lookmalasin umasaini. Hakuna kiingereza popote.Wewe mbona unatumia jina la kingereza tena feki unajiona uko sawa kweli
Hakuna jina la kibantu linaanzia na look acha uongoHili ni jina la kimasai. Kuna eneo linaitwa Lookmalasin umasaini. Hakuna kiingereza popote.
Kwa sera zipi? Kuuza nchi?😂😂 Kila la Kheri mkuu, katika kuutafuta huo uraisi.
Na mbona hutumii picha yakoHili ni jina la kimasai. Kuna eneo linaitwa Lookmalasin umasaini. Hakuna kiingereza popote.
Kwa sera zipi? Kuuza nchi?
Mwambue akupe hata sera tano, kumi kuinua maisha uchumi wa Tanzania kama anaweza.
Fanya utafiti. Kila kitu lugha, maisha, ustaaeabu yalianzia Afrika hasa hapo Olduvai. Yakatembea hadi Misri, Ugiriki, Rome, UK, USAHakuna jina la kibantu linaanzia na look acha uongo
Kafie mbele, kwamba 5 terms zinafutwa ili ufike hiyo miaka yako 20?Ukuaji wetu wa uchumi bado ni dhaifu sana nikimimaanisha ukuaji wa asilimia 5,
View attachment 3324501
6,7 au 8 bado ni mdogo na hauna nguvu ya kuleta mabadiliko ya kweli
Tema nyongo zote ukimaliza utaendelea ba shuhuli zako sababu hazinipunguzii kituKafie mbele, kwamba 5 terms zinafutwa ili ufike hiyo miaka yako 20?
Uliyoyasema hayana uhusiano na uziFanya utafiti. Kila kitu lugha, maisha, ustaaeabu yalianzia Afrika hasa hapo Olduvai. Yakatembea hadi Misri, Ugiriki, Rome, UK, USA
Uliyoyasema hayana uhusiano na uzi
We tema nyongo zote ukichoka utaendela na shughuli zakoUtakaka kuongozi nchi, Taifa. Hujui chochote kuhusu uchumi, historia, Siasa. Unataka watu wakuchukulie serious au wewe ni comedian.
Babu yako anaitwa Dennis, Baba yako ni Roberts. Unajua hata asili ya hayo majina. Hujitambui kijana wangu.We tema nyongo zote ukichoka utaendela na shughuli zako
Babu yako anaitwa Dennis, Baba yako ni Roberts. Unajua hata asili ya hayo majina. Hujitambui kijana wangu.
Sera zako ni za hovyo sana, hujui uchumi wa nchi unatengenezajwe, unafanyaje kazi. Inabidi ujifunze kuanzia uzalendo, uchumi, siasa kila kitu kwenye maisha yako binafsi. Kabla kufikiria kuwa Rais.
Umezaliwa wapi?
Endelea kutema nyongo ukichoka utaendelea na shughuli zakoBabu yako anaitwa Dennis, Baba yako ni Roberts. Unajua hata asili ya hayo majina. Hujitambui kijana wangu.
Sera zako ni za hovyo sana, hujui uchumi wa nchi unatengenezajwe, unafanyaje kazi. Inabidi ujifunze kuanzia uzalendo, uchumi, siasa kila kitu kwenye maisha yako binafsi. Kabla kufikiria kuwa Rais.
Kimasai sio KibantuHakuna jina la kibantu linaanzia na look acha uongo
Utakua point ya kwanza ya viwanda vya awaliUtafanyaje fanyaje hebu tudadavulie maana yake ukuaji mkubwa huo sio mchezo!!
Wamasia ni wa-nilotic majina ya kinolotic hayako hivyo ili linaitwa luku ila akaamua kujiita lookKimasai sio Kibantu
Mgombea urais labda wa darasa la Saba. Ninajaribu kukusaidia.Endelea kutema nyongo ukichoka utaendelea na shughuli zako
Watu kama wewe nawapendaga sana