Nikiwa Rais soko la Kariakoo litaboreshwa maradufu

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Nikiwa Rais wa Tanzania kutatengwa zaidi ya sh Trillion 1 kwa ajili ya maboresho makubwa sana ya soko la kariakoo ili kuondoa changamoto zilizopo mfano;-
  • Frem zitakuwa na standard ambayo ni uniform sio sahivi kila mtu anajiamulia tu kutengeneza fremu anayojisikia
  • Usafi utakuwa wa hali ya jùu
  • Cctv camera zitafungwa soko zima
  • Kuboresha barabara na zote kuwa za lami ya kiwango cha juu
  • Umeme hautakatika
  • Mama ntilie hawatapikia barabarani
  • Bodaboda hawatapaki sehemu yeyote wanayojisikia
  • Kariàkoo hakutakiw kuwa na vumbi
  • Sewage system itatanuliwa
  • Maji ya dawasco ambayo yatakuwa safi na salama yatakuwa reliable ni tofauti na sahivi maji yanayotumika kwa asilimia kubwa ni ya chumvi
  • Mitaa yote itafungwa taa

Muheshimiwa Raisi mtukufu mtarajiwa awali ya yoteee nipende kutoa shukrani zangu za dhati Kwako mtukufu muheshimiwa Raisi AJAYE DENNIS ROBERTS.

Pia shukrani nyingi Sana zikufikie maana kwa wakati tofauti tofauti nimejitoa kisikiliza maoni na maono yako makubwa naku ya tafsiri kwa matendo niku ume sikio muheshimiwa Raisi mtukufu mtarajiwa Watanzania WENGI SANA tupo/ wapo nyuma yako.

Kwa heshima na taadhima kubwa Sana Sanaa muheshimiwa Raisi mtukufu mtarajiwa ajaye tumechelewa Sana tumelaliwa Sana huu ndio WAKATI sahihi Sasa MH. RAIS wetu ajaye tumechelewa Sana kwa takribani miaka 60's maono yako yatapaisha Sana uchumi tunapo zungumzia kariakoo ndio HUB / kitovu Cha biashara afrika masharik na Kati uchumi utapaa Sana Sanaa

Mh. RAIS wetu mtukufu mtarajiwa sisi TULIO amua kwa uzalendo na mapenzi yetu tumejitoa kukufanikisha MH.mtukufu RAIS wetu ajaye mtarajiwa TUPO TAYARI KUSHUHURIKA NA ""MAPONJOROO"" ya humu ndani na nje ya JF kuhakikisha ILANI NA MAONO YAKO TUKUKA TUKUFU YANAWAFIKIA MPAKA WATU WA CHINI KABISA.

NAOMBA KUWASILISHA KWA UNYENYEKEVU MKUBWA KWAKO MH. MTUKUFU RAISI WETU AJAYE.

Wasalaam.
 
😄😄😄😄😄
 
Dalili za Ukichaa (Kisaikolojia au Ugonjwa wa Akili/Matatizo ya Akili) hutofautiana kulingana na chanzo chake (kama vile skizofrenia, bipolar, au matatizo mengine ya akili), lakini hapa chini ni baadhi ya dalili kuu zinazoweza kuashiria mtu ana matatizo ya akili au ukichaa:

---

🔴 Dalili Kuu za Ukichaa au Matatizo ya Akili:

1. Kubadilika kwa tabia ghafla

Mtu kuwa na hasira, furaha ya ghafla au huzuni bila sababu.

Kutokuweza kudhibiti hisia. Kama hivi unaona anajiona raisi

2. Kushindwa kutofautisha kati ya ukweli na uongo (Delusions na Hallucinations)

Kuona au kusikia vitu ambavyo havipo (maono au sauti). Hapa ndo raisi wetu ana tatizo hili

Kuamini mambo yasiyo ya kweli, kama kuamini anafuatwa au anamiliki mali kubwa bila ushahidi. Mfano doctor shika pia alipata shida hii

3. Kutopenda usafi au kuonekana ovyo

Kuacha kujali muonekano, usafi wa mwili au mavazi. Nahisi pia ukiangali ndevu za raisi ziko rafu sana

4. Kujitenga na jamii au familia

Kutotaka kuzungumza na watu.

Kukaa peke yake kwa muda mrefu bila mawasiliano.

5. Kukosa usingizi au kulala kupita kiasi

Kukosa usingizi kabisa kwa siku kadhaa au kulala muda mwingi. Ùkiangalia macho ya raisi unaona kabisa hajalala siku nyingi

6. Maneno au matendo yasiyoeleweka

Kuzungumza vitu visivyo na maana.

Kutembea bila mwelekeo, kucheka au kulia bila sababu. Sasa mtu anajihisi atakuwa raisi hata kadi za chama hana

7. Kujiumiza au kutishia kujiua

Kujikata, kunywa sumu au kujidhuru kwa njia yoyote.

Kutamka kuwa haoni sababu ya kuishi. Ndugu zake waangalie hali hii kama anayo

8. Matatizo ya kumbukumbu na akili

Kusahau mambo kwa haraka sana. Hili pia wamcheki huyu mtu

Kushindwa kufikiri au kufanya maamuzi rahisi.

Pia nashauri tumuwahi dawa kabla hajapotea kabisa
 
Ahsante kwa kushiriki na karibu tena
 
Ahsante kwa kushiriki na karibu tena
Nimetumiwa meseji private simu na mdogo wake deniss kaniambia kuwa hata wanashangaaa mambo anayoongea wanasema zamani kuna mwezi huwa akili zake zinaruka wasipo mpa dawa na wao wamejikuta wanamuona huku anatangaza kuwa raisi

Mdogo anasema kuwa watampelekea dawa ambazo huwa anatumia kila mwezi
 
Wewe ongea wala usichoke tumia haki yako
 
Back
Top Bottom