Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #21
Ni kawaida kariakoo kukuta chemba zinavuja kwa hiyo mimi nikiwa Rais kutakua na upgrade kubwa sana ya chemba (sewage system) za kariakoo
Huu hausiani na mambo ya appearance utakua umekosea njiaHivi ni komwe au uwalaza?
Ahsante kwa kushiriki na karibu tenawe jamaa umechanganyikiwa
Usituharibie uzi....Dalili za Ukichaa (Kisaikolojia au Ugonjwa wa Akili/Matatizo ya Akili) hutofautiana kulingana na chanzo chake (kama vile skizofrenia, bipolar, au matatizo mengine ya akili), lakini hapa chini ni baadhi ya dalili kuu zinazoweza kuashiria mtu ana matatizo ya akili au ukichaa:
---
🔴 Dalili Kuu za Ukichaa au Matatizo ya Akili:
1. Kubadilika kwa tabia ghafla
Mtu kuwa na hasira, furaha ya ghafla au huzuni bila sababu.
Kutokuweza kudhibiti hisia. Kama hivi unaona anajiona raisi
2. Kushindwa kutofautisha kati ya ukweli na uongo (Delusions na Hallucinations)
Kuona au kusikia vitu ambavyo havipo (maono au sauti). Hapa ndo raisi wetu ana tatizo hili
Kuamini mambo yasiyo ya kweli, kama kuamini anafuatwa au anamiliki mali kubwa bila ushahidi. Mfano doctor shika pia alipata shida hii
3. Kutopenda usafi au kuonekana ovyo
Kuacha kujali muonekano, usafi wa mwili au mavazi. Nahisi pia ukiangali ndevu za raisi ziko rafu sana
4. Kujitenga na jamii au familia
Kutotaka kuzungumza na watu.
Kukaa peke yake kwa muda mrefu bila mawasiliano.
5. Kukosa usingizi au kulala kupita kiasi
Kukosa usingizi kabisa kwa siku kadhaa au kulala muda mwingi. Ùkiangalia macho ya raisi unaona kabisa hajalala siku nyingi
6. Maneno au matendo yasiyoeleweka
Kuzungumza vitu visivyo na maana.
Kutembea bila mwelekeo, kucheka au kulia bila sababu. Sasa mtu anajihisi atakuwa raisi hata kadi za chama hana
7. Kujiumiza au kutishia kujiua
Kujikata, kunywa sumu au kujidhuru kwa njia yoyote.
Kutamka kuwa haoni sababu ya kuishi. Ndugu zake waangalie hali hii kama anayo
8. Matatizo ya kumbukumbu na akili
Kusahau mambo kwa haraka sana. Hili pia wamcheki huyu mtu
Kushindwa kufikiri au kufanya maamuzi rahisi.
Pia nashauri tumuwahi dawa kabla hajapotea kabisa
Hivi unavuta bangi au hadi unajihisi raisKutakuwa na watu watakaoajiriwa ku-monitor cctv camera 24/7
Noma sana doctor shikaKarikaoo hakutakiwi kuwe na vumbi
Naanza kukuelewaAhsante kwa kushiriki na karibu tena
Mh rais na sisi tunaopanga meza za kuuzia viatu kwenye hizi barabara, utatupeleka wapi ?Nikiwa Rais wa Tanzania kutatengwa zaidi ya sh Trillion 1 kwa ajili ya maboresho makubwa sana ya soko la kariakoo ili kuondoa changamoto zilizopo mfano;-
- Frem zitakuwa na standard ambayo ni uniform sio sahivi kila mtu anajiamulia tu kutengeneza fremu anayojisikia
- Usafi utakuwa wa hali ya jùu
- Cctv camera zitafungwa soko zima
- Kuboresha barabara na zote kuwa za lami ya kiwango cha juu
- Umeme hautakatika
- Mama ntilie hawatapikia barabarani
- Bodaboda hawatapaki sehemu yeyote wanayojisikia
- Kariàkoo hakutakiw kuwa na vumbi
- Sewage system itatanuliwa
- Maji ya dawasco ambayo yatakuwa safi na salama yatakuwa reliable ni tofauti na sahivi maji yanayotumika kwa asilimia kubwa ni ya chumvi
- Mitaa yote itafungwa taa
View attachment 3363053
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Kutakuwa na utaratibu mpya najua watu wanaishi kwa kutegemea kuuza barabarani ili waishi kwa hawatatelekezwaMh rais na sisi tunaopanga meza za kuuzia viatu kwenye hizi barabara, utatupeleka wapi ?