Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #41
Hakuna sehemu nimesema ntafanya mapinduzi mimi sina hata kikundi chochoteMkuu maono na ndoto nzuri,ila tafadhari huo urais unaouimba kila siku upitie mchakato ulioainishwa na katiba ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
Tunaipenda nchi yetu hivyo tafadhari usije ukafanya mapinduzi ya kijeshi au ya aina yeyote ile. kufanya hivyo kutasababisha umwagaji wa damu na amani tunayoilinda tangu uhuru itatoweka jambo ambalo sisi watanzania hatutaki litokee. KATIBA IHESHIMIWE.
Kuwa na ndòto za urais sio kosa what if nina-malengo ya mwaka 2035 na nachofanya ni maandalizi naamini nachofanya sio kosa
Mtu mwenye nia mbaya hawezi kuja waziwazi kama nilivyokuja mimi