Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kwa hizi sera tusipo ingia White house kutakuwa na mkono wa mtu 😎😎Baraza la mawaziri Castle_Lite dosho12 na Dr am 4 real PhD pamoja na first lady zaby toto njoeni muchangie kwenye mkutano wa rais
Asijekutukataa tuKwa hizi sera tusipo ingia White house kutakuwa na mkono wa mtu 😎😎
😄😄😄😄😄Muheshimiwa Raisi mtukufu mtarajiwa awali ya yoteee nipende kutoa shukrani zangu za dhati Kwako mtukufu muheshimiwa Raisi AJAYE DENNIS ROBERTS.
Pia shukrani nyingi Sana zikufikie maana kwa wakati tofauti tofauti nimejitoa kisikiliza maoni na maono yako makubwa naku ya tafsiri kwa matendo niku ume sikio muheshimiwa Raisi mtukufu mtarajiwa Watanzania WENGI SANA tupo/ wapo nyuma yako.
Kwa heshima na taadhima kubwa Sana Sanaa muheshimiwa Raisi mtukufu mtarajiwa ajaye tumechelewa Sana tumelaliwa Sana huu ndio WAKATI sahihi Sasa MH. RAIS wetu ajaye tumechelewa Sana kwa takribani miaka 60's maono yako yatapaisha Sana uchumi tunapo zungumzia kariakoo ndio HUB / kitovu Cha biashara afrika masharik na Kati uchumi utapaa Sana Sanaa
Mh. RAIS wetu mtukufu mtarajiwa sisi TULIO amua kwa uzalendo na mapenzi yetu tumejitoa kukufanikisha MH.mtukufu RAIS wetu ajaye mtarajiwa TUPO TAYARI KUSHUHURIKA NA ""MAPONJOROO"" ya humu ndani na nje ya JF kuhakikisha ILANI NA MAONO YAKO TUKUKA TUKUFU YANAWAFIKIA MPAKA WATU WA CHINI KABISA.
NAOMBA KUWASILISHA KWA UNYENYEKEVU MKUBWA KWAKO MH. MTUKUFU RAISI WETU AJAYE.
Wasalaam.
Jamani jamani mgonjwa tumuwahi dawa au huwa anavuta bangiHakutakuwa na barabara za vumbi kama ilivyo sahivi
Kwani ni lazima ucomment usipende kuteseka kwa mambo ambayo umesaamua kuyapuuziaJamani jamani mgonjwa tumuwahi dawa au huwa anavuta bangi
Utajua wewe, ila ni lazima niwe Rais wa TanzaniaNan akupe Urais wewe
Tuonyeshe utakusanya vip mapato .Utajua wewe, ila ni lazima niwe Rais wa Tanzania
Fuatilia nyuzi zangu nimeelezea mbonaTuonyeshe utakusanya vip mapato .
Wewe unachojua ni kutumia tuu.
Ahsante kwa kushiriki na karibu tenaDalili za Ukichaa (Kisaikolojia au Ugonjwa wa Akili/Matatizo ya Akili) hutofautiana kulingana na chanzo chake (kama vile skizofrenia, bipolar, au matatizo mengine ya akili), lakini hapa chini ni baadhi ya dalili kuu zinazoweza kuashiria mtu ana matatizo ya akili au ukichaa:
---
🔴 Dalili Kuu za Ukichaa au Matatizo ya Akili:
1. Kubadilika kwa tabia ghafla
Mtu kuwa na hasira, furaha ya ghafla au huzuni bila sababu.
Kutokuweza kudhibiti hisia. Kama hivi unaona anajiona raisi
2. Kushindwa kutofautisha kati ya ukweli na uongo (Delusions na Hallucinations)
Kuona au kusikia vitu ambavyo havipo (maono au sauti). Hapa ndo raisi wetu ana tatizo hili
Kuamini mambo yasiyo ya kweli, kama kuamini anafuatwa au anamiliki mali kubwa bila ushahidi. Mfano doctor shika pia alipata shida hii
3. Kutopenda usafi au kuonekana ovyo
Kuacha kujali muonekano, usafi wa mwili au mavazi. Nahisi pia ukiangali ndevu za raisi ziko rafu sana
4. Kujitenga na jamii au familia
Kutotaka kuzungumza na watu.
Kukaa peke yake kwa muda mrefu bila mawasiliano.
5. Kukosa usingizi au kulala kupita kiasi
Kukosa usingizi kabisa kwa siku kadhaa au kulala muda mwingi. Ùkiangalia macho ya raisi unaona kabisa hajalala siku nyingi
6. Maneno au matendo yasiyoeleweka
Kuzungumza vitu visivyo na maana.
Kutembea bila mwelekeo, kucheka au kulia bila sababu. Sasa mtu anajihisi atakuwa raisi hata kadi za chama hana
7. Kujiumiza au kutishia kujiua
Kujikata, kunywa sumu au kujidhuru kwa njia yoyote.
Kutamka kuwa haoni sababu ya kuishi. Ndugu zake waangalie hali hii kama anayo
8. Matatizo ya kumbukumbu na akili
Kusahau mambo kwa haraka sana. Hili pia wamcheki huyu mtu
Kushindwa kufikiri au kufanya maamuzi rahisi.
Pia nashauri tumuwahi dawa kabla hajapotea kabisa
Nimetumiwa meseji private simu na mdogo wake deniss kaniambia kuwa hata wanashangaaa mambo anayoongea wanasema zamani kuna mwezi huwa akili zake zinaruka wasipo mpa dawa na wao wamejikuta wanamuona huku anatangaza kuwa raisiAhsante kwa kushiriki na karibu tena
Wewe ongea wala usichoke tumia haki yakoNimetumiwa meseji private simu na mdogo wake deniss kaniambia kuwa hata wanashangaaa mambo anayoongea wanasema zamani kuna mwezi huwa akili zake zinaruka wasipo mpa dawa na wao wamejikuta wanamuona huku anatangaza kuwa raisi
Mdogo anasema kuwa watampelekea dawa ambazo huwa anatumia kila mwezi