Nikiwa Rais soko la Kariakoo litaboreshwa maradufu

Ni kawaida kariakoo kukuta chemba zinavuja kwa hiyo mimi nikiwa Rais kutakua na upgrade kubwa sana ya chemba (sewage system) za kariakoo
 
Usituharibie uzi....
peleka huu ushauri huko jukwaa la afya
 
Mkuu maono na ndoto nzuri,ila tafadhari huo urais unaouimba kila siku upitie mchakato ulioainishwa na katiba ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
Tunaipenda nchi yetu hivyo tafadhari usije ukafanya mapinduzi ya kijeshi au ya aina yeyote ile. kufanya hivyo kutasababisha umwagaji wa damu na amani tunayoilinda tangu uhuru itatoweka jambo ambalo sisi watanzania hatutaki litokee. KATIBA IHESHIMIWE.
 
Mh rais na sisi tunaopanga meza za kuuzia viatu kwenye hizi barabara, utatupeleka wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ