Mkuu maono na ndoto nzuri,ila tafadhari huo urais unaouimba kila siku upitie mchakato ulioainishwa na katiba ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
Tunaipenda nchi yetu hivyo tafadhari usije ukafanya mapinduzi ya kijeshi au ya aina yeyote ile. kufanya hivyo kutasababisha umwagaji wa damu na amani tunayoilinda tangu uhuru itatoweka jambo ambalo sisi watanzania hatutaki litokee. KATIBA IHESHIMIWE.