Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Shalom shalom
Niende kwenye mada Moja Kwa Moja
Najua wengi watanishangaa lakin kwa mustakabali wa maendeleo wa Taifa lolote lile vijana ndo Kila kitu hasa wanaume hivo kuwatoa katika wimbi la stress zisizo na kichwa wala miguu ntaweka sheria kuwa kijana yeyote under 60 age of years hakuna kuoa single mama kama ukihitaji kuoa.
Single mama wataruhusiwa kuolewa na wanaume kuanzia miaka 60 nakuendelea ambao kiuchumi hasa afrika hawana faida zaidi ya busara na hekima za kipumbavu na kishamba.
Hivo adhabu Kwa mwanaume chini ya miaka 60 akioa single mama ni kukatwa kichwa hadhari tena siku ya minada na tukio litarushwa live kwenye television ya taifa.
Wengi mtanishambulia lakini mm kama nikiwa RAISI ili ntalitekeleza Kwa asilimia 200
Singo mama kutoka na ujane hawawataolewa muda wowote ikithitibitika mume alikufa ndani ya ndoa
Nawasilisha