NIKIWA RAISI NTAWEKA SHERIA MWANAUME ATAKAE OA SINGLE MOTHER AKATWE KICHWA

Ukiwa rais hata ndotoni kwako tu.
Hiyo itakua ni nchi ambayo hata mkeo sio Mwananchi wa hiyo nchi,
Sabab na yeye hawezi akasimama kukupigia kura ya huruma as anajua hutoshei.
 
Naona single mother kakutoa shipa huko,ila mlio umekuja kulilia huku,

Wewe huwezi kua hata rais wa vichaa.
 
Tayari mtu amepigwa tukio huko 😂

Anyway, kijana unaejitafuta hakikisha unajiepusha na single mothers
Sheria sijui kanuni za asili ni zaidi ya sheria za kutungwa na wanadamu.
 
downloadfile~6.jpg
 
..Kwa Sera hiyo labda uwe rais wa kitaa , Kama ney wa mitego mwenye jina la kike mwanzo.

All in all single mother sio tatizo la kudumu ila uhaba wa ufahamu/akili na pesa unafanya Vitu vidogo vingi vionekane havina maana na wakati wewe ni mtoto wa nje ya ndoa.
 
Naona single mother kakutoa shipa huko,ila mlio umekuja kulilia huku,

Wewe huwezi kua hata rais wa vichaa.
Mimi nipo kwaajir ya kuwatetea nyinyi tu, mm humu hata nikijua Kuna member humu singo mother sikommenti, siview Wala kulike Uzi wake.

Stuka singo Maza mwalimu wao ni mmoja Dunia nzma na ni janga kubwa
 
Tayari mtu amepigwa tukio huko 😂

Anyway, kijana unaejitafuta hakikisha unajiepusha na single mothers
Hii theory ya kuwa na Hela ni nzuri lakn haijawah fanya kazi Kwa singo mama atakuacha na Hela zako kisa kapuku wake alombebesha mimba
 
Hapo kwa kijana anayejitafuta namaanisha, single mothers ni pasua kichwa hvy ukiwa unajitafuta afu ukaongezea na stress za single mothers ni kujiumiza zaidi
 
Shalom shalom

Niende kwenye mada Moja Kwa Moja

Najua wengi watanishangaa lakin kwa mustakabali wa maendeleo wa Taifa lolote lile vijana ndo Kila kitu hasa wanaume hivo kuwatoa katika wimbi la stress zisizo na kichwa wala miguu ntaweka sheria kuwa kijana yeyote under 60 age of years hakuna kuoa single mama kama ukihitaji kuoa.

Single mama wataruhusiwa kuolewa na wanaume kuanzia miaka 60 nakuendelea ambao kiuchumi hasa afrika hawana faida zaidi ya busara na hekima za kipumbavu na kishamba.

Hivo adhabu Kwa mwanaume chini ya miaka 60 akioa single mama ni kukatwa kichwa hadhari tena siku ya minada na tukio litarushwa live kwenye television ya taifa.

Wengi mtanishambulia lakini mm kama nikiwa RAISI ili ntalitekeleza Kwa asilimia 200

Singo mama kutoka na ujane hawawataolewa muda wowote ikithitibitika mume alikufa ndani ya ndoa

Nawasilisha
Na watakaooa waliotoa mimba utawazawafia nini ndugu mtukufu?
 
Hii Sio poa, na sio ubinadamu.
Mimi nachosema sio Kila single Mathers ni Wanatabia mbaya, au sio wote wanatabia nzuri,
Unaweza owa single mothers na mambo yakiwa Vizuri au ukapata mwenye Tabia mbaya,
Mi Binafsi yangu Sipendi kuwasema vibaya hawa ndugu Zetu. Tuishi kwa Amani na Upendo sote ni watu
 
Shalom shalom

Niende kwenye mada Moja Kwa Moja

Najua wengi watanishangaa lakin kwa mustakabali wa maendeleo wa Taifa lolote lile vijana ndo Kila kitu hasa wanaume hivo kuwatoa katika wimbi la stress zisizo na kichwa wala miguu ntaweka sheria kuwa kijana yeyote under 60 age of years hakuna kuoa single mama kama ukihitaji kuoa.

Single mama wataruhusiwa kuolewa na wanaume kuanzia miaka 60 nakuendelea ambao kiuchumi hasa afrika hawana faida zaidi ya busara na hekima za kipumbavu na kishamba.

Hivo adhabu Kwa mwanaume chini ya miaka 60 akioa single mama ni kukatwa kichwa hadhari tena siku ya minada na tukio litarushwa live kwenye television ya taifa.

Wengi mtanishambulia lakini mm kama nikiwa RAISI ili ntalitekeleza Kwa asilimia 200

Singo mama kutoka na ujane hawawataolewa muda wowote ikithitibitika mume alikufa ndani ya ndoa

Nawasilisha
Kwa hilo na mimi nitakuhesabu mhuni wa mapangoni
 
Single mother sio tatizo.
Tatizo ni kuoa bila bikra au kuolewa Bola bikra.

Pili, kuna haki ya kudai na kutoa talaka.
Hivyo MTU anaweza kuwa single mother kwa sababu alitalakiana na mumewe iwe mumewe ndiye alikuwa na shida au mwanamke mwenyewe.
 
Back
Top Bottom