Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
yule dada ako single mama bado yupo au aliolewaga??Shalom shalom
Niende kwenye mada Moja Kwa Moja
Najua wengi watanishangaa lakin kwa mustakabali wa maendeleo wa Taifa lolote lile vijana ndo Kila kitu hasa wanaume hivo kuwatoa katika wimbi la stress zisizo na kichwa wala miguu ntaweka sheria kuwa kijana yeyote under 60 age of years hakuna kuoa single mama kama ukihitaji kuoa.
Single mama wataruhusiwa kuolewa na wanaume kuanzia miaka 60 nakuendelea ambao kiuchumi hasa afrika hawana faida zaidi ya busara na hekima za kipumbavu na kishamba.
Hivo adhabu Kwa mwanaume chini ya miaka 60 akioa single mama ni kukatwa kichwa hadhari tena siku ya minada na tukio litarushwa live kwenye television ya taifa.
Wengi mtanishambulia lakini mm kama nikiwa RAISI ili ntalitekeleza Kwa asilimia 200
Nawasilisha
Mkuu sijawah kuwa na dada singo mama labda wakiachwa na waume zao uko mbelenyule dada ako single mama bado yupo au aliolewaga??
Naww ni zao la singo mamaHatujagui marais wanaovaa vipensi vifupi vyakubana mapaja na makalio
Mm mwanamke akiwa na mtoto hata salamu yake sipokei namkwepa kama ukomaTayari single mother kakupiga tukio pole sana .....
We ni singo mama?Single mother isn't that bad nor sinning chungeni mabakuli yenu yasiyo na staha! Ni binadamu kama binadamu wengine enyi wapumbavu msio na akili.
Wacha dhihaka kwa binadamu wenzio kijana. Shirikisha akili yako sawa sawa kabla ya kuandika.We ni singo mama?
Sjawah kuwa na mahusiano na mwanamke mwenye mtoto hata mara Moja labda wa kununuaTayari mtu amepigwa tukio huko π
Anyway, kijana unaejitafuta hakikisha unajiepusha na single mothers
Mwache aendelee kuandika utumbo humu.Mkuu wewe ulilelewa na wazazi wote wawili?
Kama mjane nitaelewa nje ya hapo nikukatwa headMkuu wewe ulilelewa na wazazi wote wawili?