Jamaa yangu mmoja na yeye yamemkuta kama john... Hana hata mia ya kuacha home kila siku hadi aje town aunge unge ndio atume boda apeleke chochote home... Siku nyingine hola wanaishia kula viporo! Kumbe mke ana laki 5 kaficha kwenye begi hadi inakaribia kuoza...
SI Bora hiyo ... Nikiwa form three babaangu alipatia ajali na wakaiba mzigo wote ilikuwa ni magodoro, tajiri akamalizana na bima, mzee akafukuzwa kazi akarud maskan... Dingi alikuwa anakabalance kidgo hashindwi kuacha 5000 kwa siku unga upo mchele tunachota tu, akaanza kuishiwa Zaid anashinda road Mara madereva wenzie wanamtunza Mara deiwaka, Mara Kodi maskan, kadiri muda ulivoenda nlimuona baba akichoka Zaid , akaacha kwenda road tukawa tunashinda wote maskan .. tokea kipind hiko ndipo nilipoamini kuwa sisi wanaume tunaumwa kwa sabab ya ajali na stress zikizid, kidizain heshima ikapungua hata madogo wakaanza kumtake easy mshua, baba aliumwa kwa miez mitat mfululizo na akaisha ilifikia kipind shangaz alikuja kumuuguza na kuanza kutumia pesa zake kwa mahitaji ya pale maskan shangaz nae akaishiwa akapoteza mtaj wa shamban koz pale home ni tulikuwa na team haswa... Amini usiamini yote hayo yanatokea Mimi najua na nna uhakika kuwa mama mdogo ana laki sita ++ kwenye simu na tukawa tunaenda mwez wa nne Hali mbaya shangaz kaushiw mshua hasomek... Huwez aminia maza mdg alikunja....siku baba akapata kazi kampun moja hiv inaitwa hotreef ya dsm mzigo transit huwez aminia alipopata kaz alipona siku hiyo hiyo na siku kaenda dar kapakia mzgo transit nlipomuona makambako afya ilikuwa imetengamaa kabisa Yan...
Mawazo yangu tokea wakati ule ilikuwa mwanaume ukiwa na Hali mbaya hata iweje, hata uhai kutoka ,mwanamke huwa anakata tamaa mapema so movement zao huwa ni kuanza kujifunza kuishi bila mwanaume ko huwa anawaza hela na rasilimali Kama mme akifa wataanzaj maisha badala ya kumpigania mme ainuke, na ndio maana mwanaume usipojenga wao huwa wanasema "Sasa ukifa utaniachia Nini Mimi na mwanao" utazani wameongea na mungu kuwa Nan aanze kufa, na huwa hawajali Tena ndugu akija kuuguza yeye ndo anajivua kbsa , hata vilio vyao misiban ni kuhusu ttaishije na watto, mazee Mimi ni muislam na sijaoa Ila swez kuwa na mke mmoja Kama ntajaaliwa uchumi na nguvu, kwanza starehe binafsi pili inaondoa mvutano baina ya mke na mme Mali ikiwa na mlengwa mmoja ni rahisi kuipoteza Kwan hata ukiumwa mke atawaza Mali Ila wakiwa wengi haya mambo huwa sio rahis....
Nshapoteza Imani na Hawa viumbe, Ila napingana na mleta mada Mimi kuoa lazma....kwann nmepoteza Imani, tiririka chini hapo
Nilipo maliza six nlikuwa na manz huyo jina nahifadh,alinpenda Zaid kwasabab skua na maajab ya kumfanyia Zaid ya penz,vocha, Pedi , chupi na gauni Mara chache nlimnunulia,... Basi bwana yeye anachet Cha form four Mimi Cha form 6... Nkakosa chuo , yeye mzaz wake akajikunjua akampeleka college iringa mm nikabaki na mitaa makambako, mambo yakachange sjui Kama alimpata mwingine chuo , huo mwaka ulikuwa mrefu kwangu nkapata mishe mgahawan japo ulikuwa wa mjomba mm nilibaki kibarua na sio Kama ndgu... Hapo nkaendelea kumhudumia sometimes pocket money , vocha na Pedi , basi buana mwka ukaisha namm nkapata chuo iringa pale pale rucu , kumbe yeye akasoma college ipo ilula na sio mjini Kama nilivowaza , tkapanga kukutana mshindo, huwez amini manz alinikataa pale hospital mshindo, bas nkarud home , nlifikia kwa mjomba pia, mambo yakaenda enda., Nkaanza kushangaa huyu mtu mbna town mwingi na anasoma ilula, basi bwana boom likatema nikaona nimuage mjomba kua naenda kukaa gheto mjomba alinimind japo aliniruhusu... Hapo Nina laki Saba na sijawahi ishika
...nilivomuambia habari ya kupanga ndipo nkaisoma akili yake alifurahi sana na alisimamia Hadi nikapata chumba nkalipia 105000 Kwan chumba ilikuwa ni 35000 kwa mwez ...Sasa nikaanza kuwaza huyu manz anaweza hamia ghetto mazima ,means naoa...kwa mazingira yanayonizunguka plus ndugu na hadhi walionipa kuoa et kisa boom ningeshushwa vyeo na ndugu zangu , yaan boom tu unaoa dah!!!, Japo nna wanangu waneoa kisa boom, bas bwana nkaanza kumkataa kiaina kabla sjahamia, ikabid nitafte mwana wa kushare cost ili kumpiga pini manz, ko mm ndo nikauza chumba , nkaaga kwa mjomba nkapewa godoro na vyombo kimtindo nkahamia kwa mshkaji chumba nlikiuza 80000. Nliona Bora hasara ndogo kuliko kuoa kisa boom , ndugu wanidharau na ningekatiwa baadh ya huduma logically, nlivokataa kuishi nae ndipo dadtar ilipojifunga , tulianza kukosana na kupatana kila siku , nakumbuka Mara ya mwisho kabsa tulikosana kisa Mimi nlikataa kumnunulia bando , Mimi nilitaka atumie halotel Kwan ni gharama naafuu , yeye alitaka voda ko tukazozana had tukaachana mazima, nazan wote mnakumbuka Jin's halotel ilivokua 2019/2020 , basi mm nkaendelea ..pia naomba nikiri wazi kuwa nmepoteza kitu kikubwa sana kumkosa Kwan nilimpenda alinipenda na nlipokua nae hata mamboyangu yalinyooka kiuchumi, muda ukaenda Mimi Sina manz Ila yeye anamtu nilihs...af si unajua Tena sisi vijana tikiwaga shule namba huwa tunakariri so iliniwia vigumu kumsahau Kwan Kuna muda najikuta nmemtext unconditionally, siku akaniambia kuwa ana ujauzito wa mchiz , skuamini japo nilijilazimisha kukubali na ni kitambo sjamuona, kumbe yupo ghto la mchiz mmoja hv yupo vema kiaina ko akamuoa japo hawakupelekana maskan , na Hilo ndo Jambo nlilolikwepa kwake , nilikubali kuishi kwa principles na sio hitaji la moyo ,pia nikajifunza kuwa wanawake wanaolewa na mtu Alie tayar kuoa na sie anaempendA,
Basi muda ukaenda ,Mara kajifungua ,skuamini , siku nkakutana na dadaake ndo nkaamini aisee roho iliniuma sana , dadaake alinisihi niuchune aisee, Mara mda si muda arobaini ikafika , akaja kunisalimia japo alikataa kuja gheto , Kuna muda nlianza kutema lisala akaniwahi kuhamisha maada, baadae mchiz wakapelekana maskan makambako, wamefunga harusi mwezi huu tar 15, huko mtwango njombe na wanamtt mmoja wa kike , Sasa basi ndo nkaanza kukoma na picha za harus ukichek manz nlipanga kumuoa nkiwa tayr, nkatulizana , heh juzi SI kanpigia simu yupo mjin nikampe hai nkaenda nkampa hai na ana pete kidolen mtt mgongoni, kinyonge mazee nkaishia zangu, Leo akaja kumpa hai dadaake huku frelimo akaniambia Kama nna mda niibuke,... Hadi nawaza nibutue mke wa mtu au nilinde karma Kwan namm watanichapia mke wa ndoa, au nibutue tu kuendana na nature , si mnajua sometimes inocents huwa wanahukumiwa for no reason na nature haijaki weakness yako, alisema atakuja kuntembelea japo nimhakikishie sitamfanya hamna, nilimuambia Sina Dem mbka Leo akanipa rafki ake, rafk ale simtaki ana mawenge... Nimejifunza kuwa natakiwa kuoa mke ambae siijui background yake na nisimchukue kwa mtu nikajua maana watu wanarudiana Kama si kupeana , nakiri wazi sikumbikiri Mimi japo alikiri waz hawwz kunisahau na anahardcopy ya picha zangu kwenye album ya ndoa yake kwa kusingizia Mimi ni ndugu yake, ,namhurumia mme wake, Ila nataman kuwa na mke ambaye sikumjua utoton Kwan itanisaidia kutowajua maadui mapema SI unajua adui usimjue , hata Mimi mshkaj hanijui na ana aman tele, ndoa Ina mwezi tu, je watadumu?,
Naomba mungu anilinde niendelee kumheshimu mchiz, roho inaniuma kupoteza mpenz lakni roho inaniuma Zaid kula mke wa mtu, Tena asie na hatia kwangu, nimejifunza pia manz anaweza akawa muaminifu kwa mumewe Ila akishafunga ndoa tu basi anaamini Yu salama na sio rahs kuachana ko free....ni hayo katika upande huo japo yapo mengi zaid